Je Rais wa Sasa amezima na amefanikiwa kwa kiwango gani kuzima ndoto za January Makamba kuwa Rais 2025?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Nikili kuwa kitendo cha January Yusuph Makamba kuwa kwenye Tano bora ilikuwa ni nafasi nzuri sana kwake

Katika hali ya kuandaa Rais mpya nadhaniCCM ingemtazama kijana huyu kwa jicho la pekee.

Sambamba na hayo mimi nilijua Makamba ili aandaliwe alitakiwa kupewa Wizara ya mambo ya nje ili aimarike zaidi kimataifa! Ghafla tukasikia kapewa wizara ya mazingira na muungano hakika wajuaji walisema katupwa huko ili asaulike ingawa imekuwa kinyume chake!

Makamba amegundua kuwa wizara aliyopo haina kutumia jina kwa wingi! Tunayoona anayafanya kwa nia njema ila kwangu naona ni njia za kujitengenezea nafasi to IKULU 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,171
2,000
Makamba kafanya kazi na Kikwete. Ile ilikuwa training tosha.

Magufuli hakuna cha maana anaweza andaa. Sidhani hata ameweza muandaa mtoto wake kusimamia familia iwapo yeye ataondoka.

Cha ajabu anawaandaa kina Bashite waje kumrithi. Kioja cha Karne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,811
2,000
Urais wa Tanzania haupatikani kwa mtu tuu unajiamulia unautaka, bali urais unakwenda kwa mtu anayetakiwa. Mwinyi hakuutaka wala hakujua, Mkapa hakuutaka wala hakujua. Hata Magufuli, wakati kina sisi humu jf tulijua, usikute hata Magufuli mwenyewe hakuwa anajua kitu wakati bandiko kama hili linapandishwa humu

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Japo haijaandikwa popote lakini urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristu na Muislamu. Akiwa Mkristu ni lazima awe Mkatoliki!. Nyerere ni Mkatoliki, Mkapa ni Mkatoliki, Magufuli ni Mkatoliki, hivyo zamu nyingine ya Mkristu Mkatoliki ni 2035!.

Kwa 2025 rais ni lazima awe Muislamu na this time lazima atoke Zanzibar, hivyo kuna uwezekano wakamjaribu Mama Samia kumpokea Dr. Shein, ili 2025 aje Bara, kikwazo pekee ni age yake from 2025-2035 will be too little too late.

Dr. Mwinyi is a good one, kosa lake ni like father like son ni mpole sana.

Hivyo the only serious contender ni Pro. Mbarawa, huyu mimi niliisha mspot na kumu endorse

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums

P
 
much know

JF-Expert Member
Oct 22, 2017
2,643

Mimi ni mmoja wa wafuatiliaji wa kazi zako nyingi humu jf moja wapo ni ile ulomtabiria JPM, 2025 unahisi nani atarithi mikoba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndesalee

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
1,069
1,500
M
Makamba kafanya kazi na Kikwete. Ile ilikuwa training tosha.

Magufuli hakuna cha maana anaweza andaa. Sidhani hata ameweza muandaa mtoto wake kusimamia familia iwapo yeye ataondoka.

Cha ajabu anawaandaa kina Bashite waje kumrithi. Kioja cha Karne.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mzee Pinda kafanya kazi na marais wa awamu zote na still hakustahili urais
 
sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,472
2,000
Urais wa Tanzania haupatikani kwa mtu tuu unajiamulia unautaka, bali urais unakwenda kwa mtu anayetakiwa. Mwinyi hakuutaka wala hakujua, Mkapa hakuutaka wala hakujua. Hata Magufuli, wakati kina sisi humu jf tulijua, usikute hata Magufuli mwenyewe hakuwa anajua kitu wakati bandiko kama hili linapandishwa humu

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Japo haijaandikwa popote lakini urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristu na Muislamu. Akiwa Mkristu ni lazima awe Mkatoliki!. Nyerere ni Mkatoliki, Mkapa ni Mkatoliki, Magufuli ni Mkatoliki, hivyo zamu nyingine ya Mkristu Mkatoliki ni 2035!.

Kwa 2025 rais ni lazima awe Muislamu na this time lazima atoke Zanzibar, hivyo kuna uwezekano wakamjaribu Mama Samia kumpokea Dr. Shein, ili 2025 aje Bara, kikwazo pekee ni age yake from 2025-2035 will be too little too late.

Dr. Mwinyi is a good one, kosa lake ni like father like son ni mpole sana.

Hivyo the only serious contender ni Pro. Mbarawa, huyu mimi niliisha mspot na kumu endorse

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums

P
Asante sanaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jan 16, 2019
31
125
Jamani Watanzania tubadilike maana sura na familia zilezile kwenye uongozi haipendezi hata kidogo. Siwengine familia zetu hakuna hata mmja aliye kwenye nafasi muhimu za kiuongoz . Muangalie na familia yetu Watanzania ili maisha yabalansi kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,641
2,000
Nikili kuwa kitendo cha January Yusuph Makamba kuwa kweny Tano bora ilikuwa ni nafasi nzuri sanaa kwake

Katika hali ya kuandaa rais mpya nadhani ccm ingemtazama kijana huyu kwa jicho la pekee.

Sambamba na hayo mimi nilijua Makamba ili aandaliwe alitakiwa kupewa Wizara ya mambo ya nje ili aimalike zaidi kimataifa! Ghafla tukasikia kapewa wizara ya mazingira na muungano hakika wajuaji walisema katupwa huko ili asaulike ingawa imekuwa kinyume chake!

Makamba amegundua kuwa wizara aliypo haina,kutumia jina kwa wingi! Yunayoona anayafanya kwa nia njema ila kwangu naona ni njia za kujitengenezea nafasi to IKULU 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumwa? Huu sio wakati wa kumpamba au kumjadili mtu na aspirations zake binafsi.
Halafu huwezi kuvuka daraja kabla ya kutoka.
 
ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
2,094
2,000
Urais wa Tanzania haupatikani kwa mtu tuu unajiamulia unautaka, bali urais unakwenda kwa mtu anayetakiwa. Mwinyi hakuutaka wala hakujua, Mkapa hakuutaka wala hakujua. Hata Magufuli, wakati kina sisi humu jf tulijua, usikute hata Magufuli mwenyewe hakuwa anajua kitu wakati bandiko kama hili linapandishwa humu

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Japo haijaandikwa popote lakini urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristu na Muislamu. Akiwa Mkristu ni lazima awe Mkatoliki!. Nyerere ni Mkatoliki, Mkapa ni Mkatoliki, Magufuli ni Mkatoliki, hivyo zamu nyingine ya Mkristu Mkatoliki ni 2035!.

Kwa 2025 rais ni lazima awe Muislamu na this time lazima atoke Zanzibar, hivyo kuna uwezekano wakamjaribu Mama Samia kumpokea Dr. Shein, ili 2025 aje Bara, kikwazo pekee ni age yake from 2025-2035 will be too little too late.

Dr. Mwinyi is a good one, kosa lake ni like father like son ni mpole sana.

Hivyo the only serious contender ni Pro. Mbarawa, huyu mimi niliisha mspot na kumu endorse

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums

P
Na kipindi kile tunaaminishwa rais akitoka bara then msimu ufuatao lazima atoke zenj,,,,,na mwislam vs mkirsto. Hii naona baada ya mkapa watu walitarajiaga visiwani huko akina SAS nk, but never happened, katoka BWM kaja JMK halafu kaja JPM, sidhani kama trend ya ukirsto RC na uislamu inaapply kama tulivuoaminishwa ubara na uvisiwani.

Ikifika imefika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,343
2,000
Japo haijaandikwa popote lakini urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristu na Muislamu. Akiwa Mkristu ni lazima awe Mkatoliki!. Nyerere ni Mkatoliki, Mkapa ni Mkatoliki, Magufuli ni Mkatoliki, hivyo zamu nyingine ya Mkristu Mkatoliki ni 2035!.

Kwa 2025 rais ni lazima awe Muislamu na this time lazima atoke Zanzibar, hivyo kuna uwezekano wakamjaribu Mama Samia kumpokea Dr. Shein, ili 2025 aje Bara, kikwazo pekee ni age yake from 2025-2035 will be too little too late.

Dr. Mwinyi is a good one, kosa lake ni like father like son ni mpole sana.
Dr. Mwinyi au Dr. Slaa mmoja wapo ningependa sana muona 2025 akitafuta kupokea kijiti!..
 
bmk

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
527
1,000
Urais wa Tanzania haupatikani kwa mtu tuu unajiamulia unautaka, bali urais unakwenda kwa mtu anayetakiwa. Mwinyi hakuutaka wala hakujua, Mkapa hakuutaka wala hakujua. Hata Magufuli, wakati kina sisi humu jf tulijua, usikute hata Magufuli mwenyewe hakuwa anajua kitu wakati bandiko kama hili linapandishwa humu

Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Japo haijaandikwa popote lakini urais wa JMT ni kupokezana kati ya Mkristu na Muislamu. Akiwa Mkristu ni lazima awe Mkatoliki!. Nyerere ni Mkatoliki, Mkapa ni Mkatoliki, Magufuli ni Mkatoliki, hivyo zamu nyingine ya Mkristu Mkatoliki ni 2035!.

Kwa 2025 rais ni lazima awe Muislamu na this time lazima atoke Zanzibar, hivyo kuna uwezekano wakamjaribu Mama Samia kumpokea Dr. Shein, ili 2025 aje Bara, kikwazo pekee ni age yake from 2025-2035 will be too little too late.

Dr. Mwinyi is a good one, kosa lake ni like father like son ni mpole sana.

Hivyo the only serious contender ni Pro. Mbarawa, huyu mimi niliisha mspot na kumu endorse

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums

P
Mimi nadhani 2025 kuna uwezekano PM majariwa akapewa Urais. Ana sifa za urais anaweza ana uthubutu mkubwa. Japo sitampigia kura ni bora nimpe rungwe kuliko mtu aliye na kadi ya SISIEM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom