Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

Mtoto wa RUGE amuombea samahani Baba yake

Hivyo ni vitu vinavyoenda at par huwezi kuzungumzia kitu kwa upande mmoja huo ni unafiki..
kwahio mkuu mtu akikwambia umuongelee mzee Mandela utasemaje??
Utasema alikua shujaa wa Africa au utasema sijui aliachana na mke wake akaoa mke mwingne n.k n.k
 
Ukimiliki chombo chochote cha habar ni lazima utafahamika na wengi . Utafahamika na wengi sio kwasababu umefanya kitu cha kipekee , kwakuwa Watanzania wanahulka ya kupenda kulinganisha kwa macho baina ya kitu anachomiliki mtu husika na mhusika kimtazamo na kiumbo .

Najua nimetumia lugha ngumu kunielewa kwasababu wewe ni Mtanzania itakuwa siorahisi sana kunielewa kwasababu nilichokiongelea hakihusu mapenzi.
Kwamfano mtaani kwenu umeiona gari nzuri sana ambayo hukuwahi kuiona na ukaambiwa hiyo gari inamilikiwa na mrembo Asha , kwaakili za kibongobongo utatamani umeone huyo Asha yukoje na je anafanana na hiyo gari anayomiliki .
Ndivo ilivo kwa tukio la mpendwa wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo hudhani msiba wa RUGE umegusa(umiza) wengi kama jinsi watu wengi wafatiliavyo. Ila mimi naeza sema ni msiba maarufu tu na sio kugusa wa TZ huku ukipewa umarufu kwasababu hizi hapa.

1. Media
Vyombo vya habari vyote vimejitaidi kuupa kipaumbele msiba ,kama mwenza wao kwa mwasisi wa CMG . Redio yake piya ni miongoni mwa redio marufu TZ. Kuvunjwa kwa vipindi vyote na kuwa live matukio ya msiba imekuwa chachu ya kufikiwa na wengi hata ambao hawakumjua.

2. Siasa.
Hakuwa mwanasiasa wa majukwani ila mchango wake kwa serikali ya awamu ya 4 na 5. Kifo chake kimewagusa maraisi hao wawili hali ilopelekea wafuasi nao kujua na kufatilia kile ambacho maraisi wao kimewagusa.

3. Kucheleweshwa kuzikwa
Laiti angekuwa mwislam akazikwa mapema tungeshayasahau muda

Ipo misiba iliyogusa watanzania wote japo haikupewa kipaumbele na media wala maraisi mfano msiba wa Wanafunzi walopata ajali karatu(arusha)
 
Mimi sidhani kama alikuwa mtu aliyefanya mambo exceptional sana. Naona utamaduni wa watanzania wa kufuata mkumbo zaidi uki-play part. Na fuata mkumbo imekolezwa zaidi na makundi matatu: vyombo vya habari, wanasisa na wasanii. Haya makundi kwa hapa Tanzania ndiyo yaliyojaa watu wababaishaji na wachumia tumbo lakini cha ajabu ni kuwa jamii ya watanzania inaonekana kuwaamini na kuwakabidhi hatima ya nchi!
Ni kama vile watu walivyokiwa wanafuata mkumbo kumtaka Lowasa awe rais...lakini ukiangalia kwa jicho lingine hana cha maana ambacho angefanya....na kama angekuwa rais 2015 muda huu kila mtu angekuwa hana hamu naye tena!...Wabongo tumelogwa na nani sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama vile watu walivyokiwa wanafuata mkumbo kumtaka Lowasa awe rais...lakini ukiangalia kwa jicho lingine hana cha maana ambacho angefanya....na kama angekuwa rais 2015 muda huu kila mtu angekuwa hana hamu naye tena!...Wabongo tumelogwa na nani sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jiwe wako Kuna mtu ana hamu naye Tena nchi hii...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungekua na Viongozi makini katika nchi hii Ruge asinge mulikwa kiasi hiki..... alivyo fanya nivyakawaida sanaa isipokua alikua na Media kila halicho fanya kilitangazwa akafunika wengine....ila huwezi kumlinganisha na nurse/mtumishi kijijini unae zalisha wakinamama kutoka vijiji vitano vinamtegemea na mshahara wake duni ila inatumikia jamii.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya wewe tuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom