kwa kweli Lisu ni jembe la kuotea mbali, tuwe wa kweli tu hata mwanasheria mkuu wa serikali alikiri jana kukubaliana katika vifungu nyeti kabisa. hata alipompinga alipata wakati mgumu sana kujieleza na mwishowe ikabidi maamuzi yapitishwe kwa kura ya sauti za ndio au hapana.
kwa hili pengo kachemsha kwa sababu maazimio yalivyokuwa yanafanyika yeye alishiriki kama askofu, sasa leo haiwezekani atofautiane na wenzake kiasi hicho. kwa hili tunaomba ufafanuzi wake zaidi.
Hakika uliyoyanena hapa ni ukweli mtupu kwani hata mimi nimeshuhudia mara kadhaa tena hawataki hata jumuiya isali, anazikwa mithili ya mbwa bila sala yoyote. kwa hili tunataka maelezo kwa kweli.
wewe utakua umetumwa, hakuna tv inayotoa habari za ukweli na uwazi hapa tz kama ITV na kama ulimsikiliza Masaku vizuri alisema anadhani kilichokua kinaendelea hakina manufaa kwa watanzania kwa sababu waanzania walitaka kuona na kusikiliza mada sio vurugu. hivyo wewe ni mchochezi tu kama makonda
Hilo ni kweli kabisa, CPA mtaani zimeshaanza kudharaulika coz vijana wengi baada ya kumaliza degrees zao wanaunga moja kwa moja kufanya mitihani ya board so wakimaliza hawana experience, hapo ndipo waajiri wanapowabana na kuishia kulipwa hata laki nne na sio laki saba. cha kufanya ni board...
wewe umetumwa, kwani kupepesuka ndio kunaendesha nchi? Lowasa is the best of the best whether u like or not. Achalia mbali mapungufu yake angalia utendaji kazi wake alivyokua PM, na CCM wakimsimamisha mwingine wataambulia patupu 2015. Mimi sio CCM.
Ndugu wanaJF hasa vijana wenzungu tulio mtaani.
Nahitaji mtu aniandikie kwa umahiri kabisa business plan ukipewa mtaji wa shilingi laki tatu utafanya biashara gani? ukimaanisha mtaji wako ni shilingi laki tatu, bainisha mapato yako yatakua yapi, matumizi na faida yako kwa muda wa mwaka mmoja...
Dah, pole sana mdada. mimi nadhani cha muhimu sasa hivi ni kuwa na mbinu za kujiajiri kwa kujaribu kuchakachua akili yako zaid. Jaribu kufungua shule ya awali ya watu wa kawaida tu, then utajua cha kufanya ni nn.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.