Waajiri na na BODi mbalimbali-CPA,ACCA,NBMM...... Etc

Waajiri na na BODi mbalimbali-CPA,ACCA,NBMM...... Etc

gobraco

Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
54
Reaction score
22
naona cku izi imekua fashions kwa waajiri wa nafasi za uhasibu kutaka CPA hata km kazi husika haiitaji mpaka uwe na CPA ndo ufanye , utakuta nafasi hadi za assistant accountant, or accountant assistant wanataka CPA wakati uta report kwa either senior accountant or finance manager/financial controller + Director of Finance or both na wote tayari wana CPA, ACCA, CIMA etc.... hii yote ni huu mlindikano wa wasio na kazi na kupunguza idadi ya watu wa ku interview , lakini nina ahkika kabisa kuna wahasibu ambao bado hawajafanikiwa kupata CPA na wana jua uhasibu vizuri sana na wako competent ukiwapa nasafi , nafikiri hii ni aina mpya ya unyanyapaa na imefika mda bodi mbali mbali za professional regulations zisimamie ili, maombi yote yapite kwa bodi husika then wao ndo wata justify awe na qualifications gani kuondokana na hii abuse, nahisi hii pia ni udhalilishaji wa CPA holders o ndo tuseme sasa CPA imeshuka thamani...? NBAA wanakusanya ADA na annual fees tu thn wanatuacha all alone tukidhalilika kwa mishahara midogo na kazi za ajabu ambapo unaenda kuwa bossed na kilaza wakati umeenyeka va kutosha kupata CPA
 
nice talk, CPA imekua replacement ya advance deploma ya accounting ni mishahara yake ni ya ADA 700,000, ni kweli inabidi zipewe heshima yake, pia hata CPA holder unakuta mtu ananjaa ya kazi mpaka kuomba ku volunteer, thats why nao wana take pissy na hio qualification, CPA holder muwe wavumilivu cpa inalipa itaendelea kulipa na inahela ndefu ni wewe tu jinsi unavyo jipressent mbele ya employer
 
yaeh, imekua shida sana ,
 
Sio fashion, ni kukua kwa elimu duniani ndo kunasababishwa na haya. zamani form six leaver anakua assistant manager direct, na form four mpaka la saba wanapata kazi za maana ofisini na hawajaenda chuo, na wanapiga mzigo freshi, unaenda chuo sio kujifunza kazi lakini kupanua ubongo hasa kwenye uamuzi decision making. Itafika kipindi assistant accountant inabidi awe na phd holder na cpa sioni cha ajabu hapo. na kama mimi ni mwajiri, akija mtu ana bachelor pekeake na mwingine ana bachelor na cpa namchukua huyu wa cpa maana kasota zaidi. komaa mzee, angalia site kubwa kama umoja wa taifa, kazi zote hata iwe ndogo vipi level kama ya assistant lakini wanataka uwe na masters ya mba au fnance na uzoefu wa miaka miwili. Grow Up
 
Kumwajiri cpa holder kwa nafasi minor kama assistant accountant ni sawa na kujenga kibanda cha udongo mto jangwani wakati wa kiangazi masika ikija tu andika umeumia.
 
Kumwajiri cpa holder kwa nafasi minor kama assistant accountant ni sawa na kujenga kibanda cha udongo mto jangwani wakati wa kiangazi masika ikija tu andika umeumia.

kweli kaka iyo ni abuse of professional
 
Hilo ni kweli kabisa, CPA mtaani zimeshaanza kudharaulika coz vijana wengi baada ya kumaliza degrees zao wanaunga moja kwa moja kufanya mitihani ya board so wakimaliza hawana experience, hapo ndipo waajiri wanapowabana na kuishia kulipwa hata laki nne na sio laki saba. cha kufanya ni board ipitishe sheria za kuwalinda CPA holders ikiwa ni pamoja na waajiri kuheshimu professionals za watu kwani zimehangaikiwa jinsi wao wanavyohangaikia kazi zao. na CPA tuache kujirahisisha hata kama tuna shida tujue tunaua soko la wengine pia
 
Kukubali kulipwa pesa ndogo sio kudhalilika, ione kama fursa ya kujifunza kazi, ili kupata experience kisha uingie rasmi kwenye ulingo wa ku negotiate mshahara

Wewe hujui chochote zaidi ya theory unataka ulipwe million? Ebooo...

I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Well said mkuu, ifike wakati bodi ziwe zinasimamia hizi ishu za ajira za wahasibu!
 
dah, mm nimemaliza yangu proffessional stage IV $ V ya procurement yani CSP kutoka PSPTB na research yangu imekubaliwa.
 
Ukimaliza all CPA Exams kuna sheria hii wewe kama Graduate Accountant .....ukitimiza na vigezo hivi huwezi kuja hapa kulalamika ........utajua nini ufanye ..........

NBAA Graduate Accountants are fresh CPA (T) or equivalent holders, who are per requirements of section 4(2) and 5(1) of the NBAA (Registration andMembership) by laws 1997,eligible to be registered as either Associate CertifiedPublic Accountant [ACPA]
or Associate Certified Public Accountant inPublic Practice [ACPA-PP] as the case may be.

The 1997 by-laws require a
work experience record or log book to accompany any application by a GraduateAccountant (GA) as evidence of completion of his/her three (3) years practicalexperience.

In registering Graduate Accountants as associate members, NBAA demands a post-qualifying experience as one of the conditions. Elsewhere in the world likethe chartered Institute of certified Accountants of UK, professional bodies
demand a pre-qualifying experience.

In Tanzania Graduate Accountants, before being registered they will be vetted subject to the following:-

(a) The applicant testifying that he/she has worked in senior and relevant

positions in accounting or auditing for at least 3 years;

(b) The applicant filling the NBAA Experience Log Book which shall be
signed by all his/her mentor and current employer;

(c) The applicant is required to complete practical experience log book each
year for the period of three years.

(d) The applicant meeting the other remaining conditions in the Board’s
vetting criteria as stated in the Registration and Membership By-laws.

naona cku izi imekua fashions kwa waajiri wa nafasi za uhasibu kutaka CPA hata km kazi husika haiitaji mpaka uwe na CPA ndo ufanye , utakuta nafasi hadi za assistant accountant, or accountant assistant wanataka CPA wakati uta report kwa either senior accountant or finance manager/financial controller + Director of Finance or both na wote tayari wana CPA, ACCA, CIMA etc.... hii yote ni huu mlindikano wa wasio na kazi na kupunguza idadi ya watu wa ku interview , lakini nina ahkika kabisa kuna wahasibu ambao bado hawajafanikiwa kupata CPA na wana jua uhasibu vizuri sana na wako competent ukiwapa nasafi , nafikiri hii ni aina mpya ya unyanyapaa na imefika mda bodi mbali mbali za professional regulations zisimamie ili, maombi yote yapite kwa bodi husika then wao ndo wata justify awe na qualifications gani kuondokana na hii abuse, nahisi hii pia ni udhalilishaji wa CPA holders o ndo tuseme sasa CPA imeshuka thamani...? NBAA wanakusanya ADA na annual fees tu thn wanatuacha all alone tukidhalilika kwa mishahara midogo na kazi za ajabu ambapo unaenda kuwa bossed na kilaza wakati umeenyeka va kutosha kupata CPA

ulichoongea ni sahii,lakini mi nafikiri tatizo nbaa yenyewe mitihani ya cpa imekuwa rahisi hasa papers za mwezi may ,there below std hivyo kufanya cpa holders kuwa wengi, wengine kukosa kazi,sijui tatixo ni nini kwa nbaa,mbona paper za nov ziko smart lakini papers za may mmhhh majanga.
 
Back
Top Bottom