Recent content by DEO mtiifu

  1. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada jamaa kayatimba

    anajaribu kurequest verification code, ili atumiwe kwa message inahesabu sekunde halafu hailet code
  2. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada jamaa kayatimba

    Ili iwaje
  3. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada jamaa kayatimba

    Facebook account yake imehackiwa, analog in kama kawaida, ila mesenja kuna huyo mpuuzi anawatumia watu sms vibaya mnooo yaani kila siku sms sizisopungua 20 kuhusiana na masuala ya betting, tukiangalia kwenye setting "where you log in" inaonesha jamaa yupo vietnam,. Jamaa yangu anatumia...
  4. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania HOJA UTUMISHI waweke utaratibu wanaofauli usaili na kukosa nafasi wapewe kipaumbele katika ajira mpya

    Utumishi washenz kk, wanaingia na majina kwenye interv
  5. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda

    Mzee chunya kwa moto, karibu mwanjelwa-kabwe zoneas
  6. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania KERO Namna ambavyo tunaibiwa kwenye kilo za nyama buchani bila kufuatilia

    Yaan unahitaji kilo moja wakati sahan ya kupimia ina nusu kilo, ko wanakupimia nusu kwa bei ya kilo😂
  7. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Trafiki atembezewa kichapo na Mwananchi Mwenge, Mwanajeshi aingilia Kati. Sasa itakuaje?

    Traffic bongo ni kikwazo 70%,halafu mipolisi ya namna hiyo inadhalilisha askari woote kuonekana mdebwedo, hilo nanga sjui halikuwa linahudhuria kipindi cha somo la self defense? Sasa hapo unashindwaje kubinuka kumtoa huyo raia hapo juu?
  8. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Dudubaya: Polisi msihangaike kunitafuta, nakuja mimi mwenyewe

    THE DUDU MJANJA SANA KAAMUA KUJISALIMISHA ANAWAJUA POLISI WA TANZANIA WALIVYO WENDAWAZIMU,HAWACHELEW KUMJIA NA DRONES
  9. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kukimbiza daladala kisa chenji?

    Umaskini umaskini, konda maskin dada maskini,
  10. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    Sijakubali japo wameniomba saaaaana hata mi nimehisi kama itakua ni kuongeza mzigo wa mikopo
  11. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    Mbona ha Kivip maana naskia namba za simu hutumika zake
  12. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Wanahitaji kutumia NIDA yangu kumsajilia mtu mkopo wa simu.

    ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
  13. DEO mtiifu

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kimekuwa mtihani kwangu, kila nikiitwa kwenye usahili nashindwa kujieleza

    Mi ni mD juzi kati kaja mjerumani anazungumza kiingereza bwana bwana ajabu nikawa nazungumza ila kwa kigugumizi, nilichojifunza kadiri nilivyokuwa nazungumza nae ndio nikawa namistake and correcting na kuanza kurecover, shida ni vile tunatumia kiiswahili saaaana pasipo mtu wa kuchallenge nae.
Back
Top Bottom