secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,069
- 42,910
Ni kiasi gani cha pesa kingekufanya utoe jicho?ni hela lakini si yakutoa jicho
Ni kiasi gani cha pesa kingekufanya utoe jicho?ni hela lakini si yakutoa jicho
Jf nayo ilipotea kabisa kiongoz,Umepotea sana.
Tupo Kiongozi wangu, tunasukuma gurudumu la maisha
Hahahah Mr pipa achana nae anakuchora tu😁
Ujue hapo baada ya kulewa jamaa alianza ile style ya "mpe yule,yule, yule, na yule"Hizi hizi safari lager au pombe gani mkuu
Hongera kwa kuwa na mtazamo huo. Wengine wakikutwa na hilo jambo wanakimbilia kutoa jicho.nitoe jicho nitaonaje warembo
Weng hupoteza pesa wakilewa kwa kunywa konyag, kvant na vikali vingine, hazina adabu zile unaanza kununulia watu, mara ule mshangaz unaanza kuushobokea na kuomba collabo ya gest!Kosa la kiufund lilianzia hapo kwenye Konyagi. Na pengne ulichanganya na Bia baadae. Na pia ulikunywa vyote hivyo wakat tumbon pako empty.
Kwahiyo mwili ukawa hauna nguvu, akili ikapoteza umakini na nyege ndio sasa ikashika hatamu. 😊😊😊😊. Ni balaa sana hii.
Mm nilishajiamulia miaka 15+ huko nyuma kuwa bora ninywe vibia havileweshi kwa haraka na nikamaliza 20k taratibu mwenyewe tena mdogo mdogo na nisilewe sana ila akili ikawepo na muda nikiamua kunyanyuka bar nanyanyuka na asubuh naamka mwepesi kabisa.
Kuliko kunywa Kvant/konyag kwa buku 10 useme unabana matumizi alaf baada ya lisaa 1 unapoteza umakin unaanza kununulia bia watu usiowajua na kununulia wahudumu chakula 😊😊😊😊. Na kuomba namba za simu na Jagina.