Recent content by Deo Mtanzania

  1. Deo Mtanzania

    WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

    Yahaya akiwa tapeli na haeleweki eleweki haimaanishi waislam woote wapo ivyo, lengo la Jide ni kufikisha ujumbe na wala hakulenga dini.. Ni sawa na Juma Nature alivyoimba Mtoto Iddi, Offside Trick walivyoimba Ahmada, Nyimbo kama Mario nk.. Usifikirie sana dini coz zote zimeletwa na meli
  2. Deo Mtanzania

    Umesoma shule ya bweni wewe?

    Lyamungo Second enzi izooo, Nguna la kutosha, maharage yamesimama kama yapo kwenye gwaride basi tunaweka dagaa na mafuta kidogoo... Asubuhi uji aka FONGO... Siezi sahau haya maisha
  3. Deo Mtanzania

    Mtambuzi mie, hata nikizeeka nishawahi kulala hapa......

    Singita Gurmet ndani ya Serengeti, Hotel bora zaidi duniani kuwahi kutokea... Sehemu ambayo mabilionea wa dunia hupenda kupumzika bila kufuatiliwa na vyombo vya habari....
  4. Deo Mtanzania

    Movie iliyowahi kukutoa machozi....

    Sometimes In April
  5. Deo Mtanzania

    Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

    Mbona mkitaka VISA za marekani huwa mnavua na mnapigwa picha, mkitaka passport huwa mnavua na mnapigwa picha,
  6. Deo Mtanzania

    Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

    Dini tumeletewa tu, fikiria mambo ya msingi na ya kimaendeleo
  7. Deo Mtanzania

    Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

    Ni mwendo wa gwanda, bukta na green vest. Kule hawajui dini ni nidhamu, mafunzo na kazi. Na wakitoka hawatakuwa na mawazo ya dini kama ww
  8. Deo Mtanzania

    Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

    Sijawah kuona afande ndani ya gwanda na hijabu juu, walinzi wa Gadafi walikuwa wanawake na walikuwa hawazingatii mambo ya dini, jeshi ni free generation na hawajui dini
  9. Deo Mtanzania

    CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

    No research no right to speak, CHEAP IN WORDS
  10. Deo Mtanzania

    Jimbo la Segerea: Nini CCM's Plan B?

    Si lazima maji yafuate mkondo, kuna mambo mengi ya kuisaidia hii Tanzania so si lazima uwe mwanasiasa ka mzee wako
  11. Deo Mtanzania

    Makamu wa Rais ana kazi gani?

    Inachekesha ila ndo ukweli wenyewe, pia huyu jamaa hana mvuto wa kisiasa
  12. Deo Mtanzania

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Huyu ni mbwa koko anayebweka bweka hovyo lkn hawezi kung'ata, leo ndo unagundua kuwa millya alikuwa mzigo???? Mtu yeyote makini na mzalendo hawezi kuvumilia kuwa chama cha magamba unless ana maslahi binafsi au anatumiwa na baadhi ya makundi ya watu kama wewe,
  13. Deo Mtanzania

    Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

    Huyu Napee hana tofauti na Y. Makambaa, wametoa nazi kongwe wameweka nazi changa.. Mwisho wako unaonekana kirahisi
  14. Deo Mtanzania

    Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

    Wonders has no end na nazi ni nyingi kuliko vichwa, how comes umpangie mtu matumizi ya hela zake??? Anzeni kujichunguza nyie wenyewe ndani ya chama then mkijikuta wasafi ndo mje kwa Sabodo, mwenye fedha halali pekee ndo anaweza kusimama mbele za watu na kuipinga ccmagamba na sio hao wanaozipata...
  15. Deo Mtanzania

    Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM

    Hakuna mtu anayeogopa huyu vuvuzela asiye na busara wala subira, future yake kisiasa haionekani n the bad thing he doesnt work for the party bt anatumiwa na wachache kwa interest binafsi,
Back
Top Bottom