Recent content by denzo

  1. denzo

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa wanawake wanajiamini Sana kuliko Wanaume; Vijana wengi wamekuwa mazuzu

    Vijana wakiume njooni kuna ujumbe wenu
  2. denzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Tanga wametumwa mapenzi. Nusu nifie kifuani mwenzenu

    Nimewahi siti
  3. denzo

    JamiiForums Tanzania Binadamu ni kiumbe cha tofauti sana pindi giza linapoingia

    Wachaw, majambazi, wazinzi n.k ndo mida yao
  4. denzo

    JamiiForums Tanzania Gloomy Sunday: Wimbo uliosababisha watu zaidi ya 100 kujiua

    Nimeusikiliza huo wimbo mara kadhaa kwa version zote mbili (Hungarian na Kiingereza). Kilichoimbwa kwenye huo wimbo kina maudhui ya mtu aliyefiwa na mpenzi wake na anataka kujiua ili ajiunge nae huko alipokwenda. Hata hivyo, kwenye comments za watu huko youtube licha ya kwamba wamekiri huo wimbo...
  5. denzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana oeni mabinti wenye kwao

    Waliofungiwa sana wakipata uhuru ni tatizo. Bora makonkod hakuna kipya tena kwao. Wakiamua kutulia wanatulia
  6. denzo

    JamiiForums Tanzania Msaada kabla ya kupima HIV

    Kutojiamini na kuulizia Jf ni miongoni mwa dalili za HIV
  7. denzo

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepata tatizo la kutoa harufu ukeni

    Harufu ina sababu yake. Ni vema kwenda hospitali kujiridhisha kama sababu ni bakteria wa ukeni au vinginevyo. Mambo ya kugongewa ukiwa mbali sio kipaumbele kwa sasa kwani yapo na hayazuiliki kwa maneno.
  8. denzo

    JamiiForums Tanzania FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Sasa wamasai tumeingiaje tena kwenye hii mada[emoji15]
  9. denzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

    Kama mzigo hajala kutakua na tatizo la kiufundi. Hapo hatusemi wapo kwenye mahusiano, watakua wanafahamiana
  10. denzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kukataa kukutumia picha zake Whatsap ni ishara gani?

    As long as mzigo anatoa, picha sio ishu sana. Kuna watu wengine hawapendi kupiga picha
  11. denzo

    JamiiForums Tanzania Elimu ya juu ni matangazo tosha kwa mmarekani

    Kwa sababu ya mawazo mgando
  12. denzo

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tutegemee lockdown tena?

    Umetumia neno tena kama vile Tanzania ilishawahi kuwa na Lockdown
  13. denzo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe neno 'mnyonge' maana yake ni mbumbumbu!

    Nilishaanza kumaindi ila nimelitafuta neno mbumbumbu kwenye uchambuzi wa maana ya MNYONGE sijafanikiwa kuliona. Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom