Recent content by denyo1985

  1. denyo1985

    3rd round updates

    Tujuzane lini majina ya 3rd round yatakua out ! Na vyuo vitakavyotoa majina
  2. denyo1985

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Ninaomba links za scholarship za masters kwa masomo ya science ed Na ed. Management, environmental science
  3. denyo1985

    Ombi kwa Bernard Membe

    Hivi ili sakata LA uhakiki mbna limekua la kisiasa Mana mambo mengi yamefungwa kisa uhakiki
  4. denyo1985

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo same kilimanjaro! Nije iringa mc,njombe mji,mbeya city au songea manispaa. Sms Pm .idara elim sek
  5. denyo1985

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje kilimanjaro wilaya ya Same . Mm nije kati ya njombe mji,mbeya jiji, iringa municipal,songea municipal. Aliye tayari anicheki Pm tupeane mawasiliano! Idara ni elimu sekondari.
  6. denyo1985

    Scholarship

    Nisaidieni link za watoa schorship nje na ndan ya nchi! Nataka niombe masters
  7. denyo1985

    msaada

    Kmspico inayoweza kuactivate almost all versions of windows i.e 7,8,8.10 na all office 2007,2010.2013 na 2016 anisaidie link
  8. denyo1985

    Ongezeko la mauaji/Ubakaji na udhaifu wa vyombo vya uchunguzi, nini kifanyike?

    nn chanzo cha mauaji ya kikatili yanayoendelea hapa nchini? kumekua na mfululizo wa mauaji hivi karibun tukianzia Mwanza kule msikitini, dar kiwalani familia kuteketezwa na kule kigambon yule dada wa bilionea msuya na kadhalika. Nimekua nikijiuliza bila kupata majibu kwamba mfumo wetu wa ulinzi...
  9. denyo1985

    Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

    hiv balozi akirudishwa nchin ina maana kuwa utumishi wake umekoma au? Mana baloz wetu nchin uingereza amerdishwa nyumban na leo hii nimeskia Dr. Asha migiro kateuliwa na kesho ataapishwa kuchukua nafasi hyo.
  10. denyo1985

    Jihadhari na namba hizi za matapeli

    Kweli kabisa ni wezi hawa
Back
Top Bottom