Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
Sheria, maendeleo ya jamii n.k
Inawezekana kapisa lakini awe na D ya math.Wakuu naomb kuuliza kuwa Nina mdog wangu kamaliza certificate ya IT mwaka huu...je, anaweza badilisha kwenda kusoma diploma ya Computer science au computer engineering...
Dogo unaangalia majina na namna yanavyokupendeza cha msingi kamua kwanza ukishaweka Div. One ndio utaanza kupanga proffessinal uitakayoMpaka hapo nashukuru sana kiongozi,
Banking and Finance ndo nimeipenda kama HGE inahusika
Umependa jina banking ukiamin utaajiriwa bank after kumalizaMpaka hapo nashukuru sana kiongozi,
Banking and Finance ndo nimeipenda kama HGE inahusika
Dogo mbon hueleweki???mara banking and finance mara accounting uko wap sasa???kama huna direction uspoteze muda ako kwan utaaibika chuo,,so jipange you stil hav timeKwa mtu aliyesoma HGE anaweza kusomea vitu gani chuoni na kazi zipi anaweza akazifanya?
Anaweza hata kusoma engineering?Dogo soma combination yeyote unayohisi unaimudu. Kumbuka kuna kuzungusha kama utataka kusoma comb kwa kutaka sifa.
Chuo unaingia course yeyote except za Afya tu.
Anaweza kusoma pia Insurance and risk managementKuna kozi nyingi tu. Soma Guide book ya TCU. Ila kukusaidia, baadhi ni kama hizi hapa;
I. Accounting
2. Banking and Finance
3. Economics
4. Business Administration
5. Procurement and Logistics
6. Education
7. Marketing and Public relations
Na nyinginezo nyingi tu.
Umachinga,ualimu,polisi jamii au bodabodaMtu atakayesoma HGE anaweza kupata kazi gani?
Machinga au bodabodaZa kiuchumi au za uhasibu hivi.
Jaribu kuulizia kwenye vyuo unavyohitaji kujiendeleza au unaweza kucheck vigezo vyao kwa hzo kozi unazozihitajiWakuu naomb kuuliza kuwa Nina mdog wangu kamaliza certificate ya IT mwaka huu...je, anaweza badilisha kwenda kusoma diploma ya Computer science au computer engineering...
aache uongo uliokubuu amaH nEnE...Mkuu umetisha!! So anaweza kusomea electrical engineering?? Anaweza kusoma engineering??? Anawezs kusoma bsc mathematics!!
Acha kudanganya wenzako!
Acha kumdanganya bwana mdogoKazi gani? Labda vibarua vya hapa na pale. Kusoma Hge haina ujuzi wowote.
Labda ukajiendeleze katika kozi mbalimbali katika taasisi za Elimu ya Juu. Kozi utakayosoma ndiyo itatoa mwanga wa kazi IPI utakayoipata.
Kwa hapo ulipo, hakuna kazi rasmi.
inawezekana kabisaWakuu naomb kuuliza kuwa Nina mdog wangu kamaliza certificate ya IT mwaka huu...je, anaweza badilisha kwenda kusoma diploma ya Computer science au computer engineering...