Jihadhari na namba hizi za matapeli

denyo1985

Member
Dec 22, 2014
54
8
Tuweni makin sana na namba hz ni matapeli 0692033635-Edward tibaijuka ,0692788892-emanuel kalinga na 0687627279-Denis kimario ni matapeli wakubwa wanadai wanafanya kaz tamisemi kitengo cha sekondari. Wameshawatapeli wengi
 
Huwa najiuliza polisi wanashindwaje kuwakamata hawa matapeli? Nilishareport wakati fulani nikaishia kuambiwa chukua RB siku ukikutana nao utujulishe
 
Mara nyingi matapeli ni watu wa kubadilisha namba zao za mawasiliano kila siku.
 
Ukitukana kiongozi unakamatwa kama kuku wa nyama ila ukitoa taarifa ya kutapeliwa.....hahaha ni ndoto mhalifu kukamatwa.

Mama yangu alitapeliwa 700,000/= na jamaa wanapatikana hewani ila hawajakamatwa wala nini mpaka kesho.
 
Huwa najiuliza polisi wanashindwaje kuwakamata hawa matapeli? Nilishareport wakati fulani nikaishia kuambiwa chukua RB siku ukikutana nao utujulishe
KAULI HIYO KWA POLISI SI NGENI.....ILA WAMBIE KUKAMATA VIJANA WA PIKIPIKI.................AA AAAH UTADHANI CCP KUNA SOMO LA NAMNA HIYO.
 
Kuzijua tu namba haitoshi sababu wanaweza kuzibadili kwa faida ya wengi utuambie jinsi wanavyofanya utapeli
 
  • Thanks
Reactions: Ctr
Back
Top Bottom