Recent content by Dennice

  1. D

    Mjamzito kulala chali kuna tatizo?

    Sory ina maana hata ukitaka kufanya mavituz huruhusiwi kulala chali!!??
  2. D

    NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    Kweli matokeo yametangazwa na wazili wa elimu,fungueni hiyo link http://www.necta.go.tz/matokeo_html_...012/olevel.htm yameshazagaa mitaani!
  3. D

    Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

    Yah ukeli ndo huo,this might be the plan!
  4. D

    Je kuna athari zozote kuoa au kuolewa na mtoto wa mwisho au kwanza kuzaliwa

    Nimeifurahia mada b'se utakuta watu wengine wanawachukulia ndivyo sivyo kumbe hawawafaham,thanx for the topic!
  5. D

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Hayo ndo matokeo ya kupeana vyeo,hii hali lazima watanzania tuikatae la sivyo itatumaliza!
  6. D

    Natafuta mchumba/ mume wa ndoa

    All the best!
  7. D

    Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

    Jamani malumbano ya nini tena,mi nadhani wote tunajenga nyumba moja sioni haja ya kugombea ufito!
  8. D

    Kutoka Bungeni - Jumamosi 21, Aprili 2012 (Videos)

    Kwa maoni yangu,hata rais alipaswa kujiuzulu ukafanyika uchaguzi mkuu upya make inaonekana tumekoswa rais kwa kipindi chote hiki,nafikiri ulikuwa ni wakati muafaka ambapo wananchi wangefanya maamuzi sahihi tukapata rais make wengi sio mbumbumbu kwa sasa.
  9. D

    Sio siri ninaumia

    Nahisi kuchukua uamuzi bila ya kumhusisha huyo jamaa utakuwa hujamtendea haki,jaribu kumhoji kulikoni isije ikawa nawe ni tatizo!
Back
Top Bottom