Recent content by Denis Elias Manyama

  1. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Ana uume mdogo kama remote ya DSTV. Nifanyaje?

    Jamanii mimi naona hii kitu ya dudu ndogo a.k.a vibamia ingekua inaongelewa katika namna ya kuwasaidia "victims" sababu nao ni watu na wanahitaji sex life. Tusiwafanye wajisikie kwamba sio watu. Mimi naamini hii kitu ikigusa mtu ambaye niwakaribu yako hutojisikia vzr
  2. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Mzimishaji anafanya wanawake wazimie kwa raha ya mapenzi yake

    Unapoambiwa kitu jaribu kutafakari kabla hujawambia watu wenginee
  3. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Umewahi kumkomoa msichana wakati wa kufanya mapenzi?

    Mkuu umechanganya madesa haya maeneo si ya kujadili ilani ya magufuliii..
  4. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kile kinachoitwa ongezeko la vibamia

    Ebu wataalamu watujibu hapa
  5. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Physics Haters.

    Hakuna somo gumu wakuu kama ukikaa na ukasilikiliza walimu kwa makini. Tatizo watu wengi hua tunasoma Physics huku tukiwa tumepanic na wasiwasi kwa sababu ya stori tunazoambiwa na watu waliotangulia
  6. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

    Forex sio rahisi mkuu. Hao wanaopata faida bado wanatrade chini ya uangalizi wa wajuzi wa forex siku wakianza kutrade wenyewe wataanza kuziona hasara nahakika
  7. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Fundamentals of Enlightenment (Kwa kiswahili)

    Mkuuu endelea basi!
  8. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    Jamani kwa wale mnaosoma Bachelor of Science General Udsm na ambao mshamaliza kozi. Naomba kujua ajira zake ni zipi? Na kunasoko kweli kwa degree hii?
  9. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Ila si umenielewa namaanisha nini mkuu?
  10. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Forex; Ushauri Wangu kwa Bw. Ontario

    Mkuu ww ni smart! Salute kwako
  11. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Namaanisha anapeleka kiasi cha shingapi kwa bosi wake ?
  12. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Jamani kwa wale wamiliki wa daladala walio mwanza. Kwa siku dereva anakabizi shingapi?
  13. Denis Elias Manyama

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Vyuo vipi vya serikali vinavyotoa Clinical Medicine?
Back
Top Bottom