Physics Haters.

Physics Haters.

Hakuna somo gumu wakuu kama ukikaa na ukasilikiliza walimu kwa makini. Tatizo watu wengi hua tunasoma Physics huku tukiwa tumepanic na wasiwasi kwa sababu ya stori tunazoambiwa na watu waliotangulia
 
Watu Waache Uongo Japo ni A ya Phsycs (enzi hizo Engineering Science school kwetu) na Advance piaNlipiga A but was Never Easy yaani inahitaji Jitihada za Kutosha Kuliko ata Namba!

Nakumbuka Miaka Hiyo swali la A89 na A91 la RogerMuncaster Nilifanyaga wiki nzima Bado Nikapewa za Uso!

Anyway Respect Kubwa kwa Physics-Somo Ninalolipenda Mpaka Leo!
 
Kwa sisi tuliosoma PCB advanced Physics ndio somo rahisi na huwa hatulipi kipaumbele...
Umenikumbusha milambo high '11 Physics nilikuwa nasoma mara moja kwa wki hili nina D sasa cheki msuli wa Bios kila sku Hila D
I solute in Biology
 
Mwalimu wangu wa Physics Mr. Macharia a.k.a Shingoo alikuwa anatupia harufu kali sana kutoka kwa mdomo wake. Uvundo wa samaki+vitunguu+viroba na kadhalika akiongea unajaa darasa nzima. Ndo maana sasa hivi nipo kwenye team ilaaniwe physics.
 
Watu Waache Uongo Japo ni A ya Phsycs (enzi hizo Engineering Science school kwetu) na Advance piaNlipiga A but was Never Easy yaani inahitaji Jitihada za Kutosha Kuliko ata Namba!

Nakumbuka Miaka Hiyo swali la A89 na A91 la RogerMuncaster Nilifanyaga wiki nzima Bado Nikapewa za Uso!

Anyway Respect Kubwa kwa Physics-Somo Ninalolipenda Mpaka Leo!

Heshima kwako mkubwa, kama ulizimaliza A zote kwa kweli NAKUHESHIMU SANA SANA SANA SANA

iLA KWANINI hUJAWA MWALIMU WA PHYSISC UISHI NDOTO ZAKO?
 
Daaahhh, heshima yangu kwako...
Muongo huyu.....PCB hawalipi kipaumbele PHYSICS kwasabab kwao calcultns zinawasumbua....wanatafutaga E tu hao......physics na PCM ndo nafuuu....hakuna urahis wala kawaida physics.....PCB hana uwezo WA kusovu ideas za problems ktk.,
-Rogermuncaster,Nelkon,ABC physics,Tom Dancan,Scholarship physics,3000question physics,Sc.Chands class xi&xii,Engneering physcs,Calculation for Alevel physcis....(mm nakwambia hvyo coz nina A olevel na B advance,coz mwaka wetu hakukuwa na A.)
 
Nadhani umeona kwanini naheshimu watu wenye A, kama nchi nzima hakuna ujue si mchezo, Hesabu kila mtu anaijua asee
 
Nakumbuka miaka ileeeeee Pugu High school wale wa PCB na PCM moja ya masomo mepesi katika combination zetu ilikuwa Physics.
 
Mwalimu wangu wa Physics Mr. Macharia a.k.a Shingoo alikuwa anatupia harufu kali sana kutoka kwa mdomo wake. Uvundo wa samaki+vitunguu+viroba na kadhalika akiongea unajaa darasa nzima. Ndo maana sasa hivi nipo kwenye team ilaaniwe physics.
Ha ....
 
Mkuu Form one tu chali nikasema acha nikomae na H kunani.ndo hayo hayo nimekaza nayo hadi chuo.

safi sana !nakumbukaga zaman mzaz au teacher akikuona hesabu unapata walau c anakuambia nenda sicience!mxiew
 
Nilikuwa nasoma hili somo kama nimelazimishwa binafsi sikuipenda PHYSiCS yaani ni sawa na kukaa meza moja na mama mkwe halafu msosi utengwe huwezi kula hata ukila hautashiba
 
Back
Top Bottom