Recent content by Denis Dan

  1. D

    Ephraim Kibonde;kuwaponda bank tellers kuwa ni wezi

    Saa nyingine ukimsikiliza kibonde unajiuliza kama ana akili timamu au ana upungufu kwa yale anayokuwa akiongea? Ila siku hizi nimegundua ni kumpuuza tu kwani kama mtu mzima bila shaka huwa ana sababu zake.
  2. D

    The Godfather ya Mario Puzo

    ............. Godfather & Bourne Identity bado zina shine kwenye memory yangu ...........
  3. D

    Funny facts

    Still niko na hamu ya kujua wewe ni tunda gani? ebu sema bana.
  4. D

    Nimeokota cheti anayemfahamu muhusika anitafute

    [Obwato: Wanajamvi leo nimeokota cheti kwenye gari linalotoka Mwenge kwenda T/mikoroshini. Muhusika anaitwa EMELDA J. MALLYA ni cha kozi ya Computer Aqlication cha OUT. Anayemfahamu muhusika ampe taarifa na anipigiie kwa namba 0717491574. Mr Obwato peleka pale chuoni kwao watajaribu kumpata...
  5. D

    Kwa wale wenye watoto nje ya ndoa!

    Yote katka yote hakikisha hapati tabu, kwani yeye hana hatia ni kwa ajili ya machezo yako na mama yake ndio yamemleta hapa duniani. so hakikisheni anapata malezi yanyofaa na asije juta kuzaliwa.
  6. D

    Picha: WABUNGE TZ WALIVYOKULA MSOTO JESHINI... ni lazima Upara?

    Mi nakumbuka kwa ule msoto niliopiga pale Buhemba JKT chini ya mkuu wa kombania A afande Kaburu hao asingerudi hata mmoja, waache kucheza maigizo bana.
  7. D

    MH KAWAMBWA live on TBC mada kuu Elimu/Matokeo

    Mh!! hii hali inaumiza sana sijui hawa watawala wanionaje au wanaichukulia vipi? Kwanza kabisa I think kawambwa should go back to bagamoyo akawe diwani aachie wengine wakae watatue tatizo, uwezo wake ni mdogo na hasa katika kuona njia za kutatua matatizo vinginevo anasaidia kututengenezea bomu...
  8. D

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Safi sana, karibu tena mjengoni kamanda tulikukosa sana.
Back
Top Bottom