Recent content by dengyer

  1. dengyer

    JamiiForums Tanzania Gambo fanya kila kitu Arusha lakini Ubunge sahau

    Uliyeposti nazani haufahamu maana halisi ya siasa, kitu ambacho hautakiwi kujiaminisha kuwa all da time wew umeteka akili Za watu bila ya kuwa mtendaji mzuri wa kujituma, Kuna wakat watu hubadilika Sasa wew sema hvyo muaminishe lema alafu ajibweteke ataona anguko Lake vizur tu siasa Haina...
  2. dengyer

    JamiiForums Tanzania Makomandoo kufanya maonyesho siku za sherehe ni siasa au kwa sababu hakuna michezo mashuleni?

    Si ndio mwisho WA mawazo yako, nazani ukikua utaelewa
  3. dengyer

    JamiiForums Tanzania Makomandoo kufanya maonyesho siku za sherehe ni siasa au kwa sababu hakuna michezo mashuleni?

    Yani nyie manyumbu posti Za kijinga kama hii ulitaka uonyeshwe mzigo wako, huyo mtto wa shule ya msingi anaweza kupinda nondo, au kuvuta Lile gari LA Tani 7, au vile virungu kuvunjikia mwilini,,, siku nyingine usituletee uzi wa kijingaa
  4. dengyer

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kitaifa zifanyike mara moja kila baada ya miaka 2

    We nyumbuu mwaka ule zilipo sitishwa mlianza kulia ooo zipo kikatiba Leo mmeona nin Tena kutaka kusitishwaa
  5. dengyer

    JamiiForums Tanzania Dhamira ya kuichafua TISS kwa udi na uvumba

    Wenye akili zaidi watakuelewa ila manyumbu yanayoona pua zao bila kuona mbele watajaribu mchezo ambao haikuwahi kuchezekaa
  6. dengyer

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Jokate Mwegelo kuwa Kaimu Katibu wa Uhamasishaji waivuruga UVCCM

    Wew Ulikua wapi usibebwe,, kwa huu uandishi wako yaonyesha sv yako ni f
  7. dengyer

    JamiiForums Tanzania Ally Makwilo ni nani ndani ya kundi la Mungiki wa Lipumba ?

    Mbuna ulizo lako linaonyesha unamfahamu huyo mtu
  8. dengyer

    JamiiForums Tanzania Serikali yalaani kitendo cha kuumizwa kwa wanahabari kwenye mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF)

    Ishahidi unao kuwa wale ni askari au Upopo tu
  9. dengyer

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliosoma seminari

    Wanaume waliosoma seminary Kwanzaa ni waaminifu na watiii, huwa Wacha mungu kutokana na misingi waliokulia, pia ni wachapa kazi Sana sio watu legelege,, watu wanaopenda kumsikiliza mtu kwa umakini
  10. dengyer

    JamiiForums Tanzania Magari yaliyotumika kuvamia mkutano wa CUF ya Maalim Seif yakutwa ofisi za CUF Buguruni yameegeshwa

    Wew unataka awe na elimu gani au chadema ni malaika?????
  11. dengyer

    JamiiForums Tanzania Vijana CHADEMA wamuonya Kambaya: "Ujinga wako fanyia huko huko, CHADEMA maji ya shingo".

    Kwanzaa haueleweki na umetumwa bahati mbaya aliyekutuma alikuchanganyia Habari, aliyekutuma toka chadema Muambie akupe maelekezo mengne,,, mara kijana WA lipumba, mara alimteka Roma Ulikua wapi Roma alipotafutwa uumtaje, msibebeshe watu matukio na kujiona unaakili Sana, punguza mehemko tumia...
  12. dengyer

    JamiiForums Tanzania Polisi waua watatu "wanaodhaniwa' kuua askari Kibiti. Hii kuua watu kwa kudhani mpaka lini?

    Ulietoa post usilete Habari yenye kichwa cha Habari kama Cha gazeti,,, endapo raia watakutilia mashaka then wakatoa taarifa police, na police wamekusimamisha then wew unakimbilia vichakani basi wew utakuwa jambazi,, kama ni raia usiyekuwa na tatzo utasimama na police kujiridhisha kuwa wew ni mtu...
  13. dengyer

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CUF wa Maalim Seif wavamiwa na watu wenye "mask". Wanachama na waandishi wapata kipigo

    Achane aseme aliowatuma mnakataa nini Wakati walishatuma vijana Wao wakajua Kuna kimchezo kichafu Kati ya chadema na kafu na vinaanza onekana,,, alafu muanze singizia serikali uchu wa madaraka utawaua
  14. dengyer

    JamiiForums Tanzania OS (operating systems) za vyombo vyetu vya ulinzi na usalama

    Sahau kama vitu vya jeshi haswa LA Tz kama vitaanikwa ovyo,, kikubwa Kuna mipaka na using'ang'ania kupata inaitwaje, alafu sometimes tujiongezee vipo vitu vya kuonyesha au kuzungumza wazi, ila si vya jeshi au taasisi yoyote ya usalam kama wew ni mtanzania litambue Hilo,,, vita ya sikuhizi ni...
  15. dengyer

    JamiiForums Tanzania Diamond kurudisha kwa jamii kwa kujenga hospitali ya Moyo Tandale

    Mtu akijitoa mnaanza madogo du kweli bongo ni hatari,,
Back
Top Bottom