Gambo fanya kila kitu Arusha lakini Ubunge sahau

Mikono mushaiweka nyinyi Kichwa ni, ile ni namba ingine Mkuu. Yule kijana ni nomaaaa. Wale Wana Arusha tunamkubali sanaaaa
Tehehehehehehe siku hizi ofisi kaihamishia AICC, kesho Ukipata nafasi muulize eti lile suala la ujenzi hospitali waliokwaruzana na Mh. Lema limeishia wapi?
Ngojea sasa uone kituko cha huu wito alioufanya wa kumuita Mkurugenzi aliyetoka arudi kujibu tuhuma za upotevu wa pesa.
 
Wamulize mvaa magwanda ya jeshi bila vyeo, kwanini mahadhimisho ya mahafali ya TMA kayakimbizia magogoni?
Na yule bwana wa ripoti ya Faru John kaamua kuifungia maandazi na kababu.?
Najidai kuwa mwana Arusha
 
Uliyeposti nazani haufahamu maana halisi ya siasa, kitu ambacho hautakiwi kujiaminisha kuwa all da time wew umeteka akili Za watu bila ya kuwa mtendaji mzuri wa kujituma, Kuna wakat watu hubadilika Sasa wew sema hvyo muaminishe lema alafu ajibweteke ataona anguko Lake vizur tu siasa Haina mwenyew kiualisia
 
Hamna rangi mtaacha kuona safari hii. Gambo ni kijana damu bado inachemka. Anapiga kazi hata vipofu wanaona. Kiongozi anaeacha salama. Hakai ofcn tu unamkuta maporini huko anapiga kazi. Na ile team yake GDK yana hapo ni Gambo, DC na Kihamia mkurugenzi wanapiga kazi haswaaa. Sisi wale Wana Arusha tupo nyuma yake na akigombea tu tunampa. Hilo ndo ujue Mkuu.
Hata Magesa Mwilongo alikuwa kijana
 
Miradi YOTE anayo fungua imetayarishwa na halamashauri na kutengewa fedha na halmashauri na halmashauri ya jiji la Arusha ipo chini ya CHADEMA, wameona wamuache aoshe sura maana hana pa kupumulia wakifungua miradi yao chadema anavamia na kuzuia watu kuongea kama alivyo vamia hospital ya mama na mtoto, ukimjua mbwa jina hata kusumbua.. mwache aoshe.
 
Hamna rangi mtaacha kuona safari hii. Gambo ni namba ingineee.KIONGOZ ANAEACHA ALAMA.
Ana acha alama gani zaidi ya kulazimisha press mpaka face book? Haahaa, sio kwa chuga mwenyewe kajionea kaanza kujirekebishwa fujo kapunguza arifu chezea wote lakini si wana ARACHUGA, huwezi kuwabadili kirahisi kama unavyo jiaminisha, miradi yote ipo chini ya chadema yeye kabaki kulazimisha matajiri waambatane nae wakatoe ahadi ya KUCHANGIA wakati makusanyo ya halmashauri ya chadema Arusha yanatosha hayahitaji michango, acha aonekane.
 
Uliyeposti nazani haufahamu maana halisi ya siasa, kitu ambacho hautakiwi kujiaminisha kuwa all da time wew umeteka akili Za watu bila ya kuwa mtendaji mzuri wa kujituma, Kuna wakat watu hubadilika Sasa wew sema hvyo muaminishe lema alafu ajibweteke ataona anguko Lake vizur tu siasa Haina mwenyew kiualisia
Wewe huijui Arusha na wana Arusha kwa taarifa yako tulisha kula kiapo kuwa ccm Arusha ni mwiko
 
Agombee hapa tunampa tena kwa kishindo.
Kumpa mtampa kwani kuna mlie wahi kumnyima? Hata Monaban mlimpa baada ya kuwapa unga, nawashangaa wakati ule unga ulikuwa shilingi 800 mkapewa leo 2500 haji kuwapa na bado hamjui kuwa mnahongwa kama wale wanao uza nyapu, mtampa sana tu na mjiandae kumpa lakini KUSHINDA na kuchukua jimbo ni jambo lisilo wezekana kabisa, mliobaki chuga ccm ni masalia tu hamfiki wa kuweza kuchukua jimbo.. kachukueni unga kwa monaban ohoooo.
 
Miradi YOTE anayo fungua imetayarishwa na halamashauri na kutengewa fedha na halmashauri na halmashauri ya jiji la Arusha ipo chini ya CHADEMA, wameona wamuache aoshe sura maana hana pa kupumulia wakifungua miradi yao chadema anavamia na kuzuia watu kuongea kama alivyo vamia hospital ya mama na mtoto, ukimjua mbwa jina hata kusumbua.. mwache aoshe.
Asante sana mkuu kwa mchango mzuuuriiiii
 
Hizi porojo za mitandaoni ni tofauti kabisa na hali halisi iliyopo mitaani huko Arusha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom