Ally Makwilo ni nani ndani ya kundi la Mungiki wa Lipumba ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,733
239,350
Taarifa zinadokeza kwamba , huyu mtu yuko namba 5 katika safu ya uongozi ya Lipumba , akiwa nyuma ya Sakaya , Kambaya na Malima .

Ni mmoja wa wasaidizi wa Kambaya kwenye kamati ya kuratibu utekaji wa viongozi wa cuf .

Sasa ni vema tukamfahamu mtu huyu hatari ' anayelindwa ' ni nani hasa ? Alitokea wapi ? Kwanini alifukuzwa alipokuwepo mwanzo ? Alisoma wapi , anaishije , mbona hana kazi ya halali ?

Ni wakati wa kuwafunua wasaliti na mamluki wote .

Karibuni .
 
Halafu tunalinda amani tu , hatuogopi kama wanavyodhani , si umeona mmoja kavunjwa mguu ?

Tena wlaitakiwa kuikata kabisa miguu yote ili akirudi kwa aliyemtuma ampe shule kwamba watanzania wamechoka kuchezewa
 
Back
Top Bottom