Recent content by demokrasia makini

  1. D

    Haya sasa hawa ndo ACACIA!

    Wakati esta anaingia malangoni pa mfalme kuomba ili awakomboe wayahudi mikonon mwa Haman wayahud walikua wakifunga na kuomba juu ya malikia nashangaa sana kuona viongozi wa dini hadi sasa wako kimya badala ya kuwasihi waumini kufunga na kuomba juu ya Serikali na raisi wetu ili tutakapo kutana na...
  2. D

    Sijasikia ACACIA wakijitetea, namsikia Mtanzania Tundu Lissu akiwatetea!

    Kama dhahabu ni yao kuna chembe chembe ambozo huvunjika kutoka kwenye dhahabu na kubaki kwenye mchanga xo wakawaomba wauchukue na mchanga wakatafute hizo chembe zilizobaki huko ccm walivyo mabwege wakawaruhusu wakawasainia na mkataba xo mchanga wote n wao kihalali
  3. D

    Pongezi za Lowasa kwa Rais Magufuli ni kichaka cha kujificha kutokana na kuhusika na kuuza Buzwagi

    We mwenyewe mwizi kila mahali ni wizi yaan ukilala kidogo tuu lazma ukatwe kidizain flan.lowassa na kikwete walikua washirika kuuza raslimali za nchi kwenye uchumi hatumtetei mtu ila hawa watu hawafungiki gerezan
  4. D

    Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Mkuu alisema sishauriki maana hakuna aliyenishauri kwenda kuchukua fomu"mwisho wa kunukuu so tusubir Lori liendelee kwenda
  5. D

    Uzalendo wa Rais huyu umenishangaza sana!

    Hivi bado kuna watu wanavuta bangi humu?unaacha kaz zako unaprint vitu visivyo na maana au kuna mtu katumwa?
  6. D

    Wadau natafuta soko la choroko na dengu

    Uko mkoa gan unitumie dengu
  7. D

    Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'

    Rong parking inahusisha watu wa manispaa na sio polisi kuleta defender ya polis kwa kupaki gari vibaya tena kwa mtu kama yule alieitumikia serikal wazir na kufyatua risas juu et unatuliza vurugu ni kosa kwa kua hakukua na fujo yoyote kama aligoma anafungwa pingu kwenye difender then kituon.lkn...
  8. D

    RC Gambo ameikosea Mamlaka, aondolewe haraka

    Gambo nduguye kikwete wakumtoa hakuna chadema tuidai tu nchi yetu amboyo inaitwa Tanzania ya magufuli na sio yetu watanzania
  9. D

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Watu wanapenda kujifunza historia na sio mapenzi movie za kibongo zimejaa mapenz na mtu hawez kuchukua na kutazama na familia yake watu wanashikana ovyo kitandan sebulen yuko baba mama na watoto wanaobalehe then unawaambia waendelee kukodelea macho uchaf.muvi zetu huwez shindanisha na season za...
  10. D

    CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

    Sis tutaiona hatumaanishi tnangangania madaraka bal tunataka haki sawa kwa wote nchi hii sio Mali ya ccm waha hakuna mwenye hat miliki ya nchi acha ubwege
  11. D

    CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

    Kughushi vyet ni kosa kisheria chadema hatuungi mkono hilo kuhusu wafanyakaz hewa ilikua ni kiki watanzania tulidanganywa tunataka hao watumishi tuwaone mahakaman na fedha zirudishwe kama hazipo wafungwe ili watanzania tujue zoez ni endelevu maana sahiv sisikii tena na wapo bado
  12. D

    Zitto: Kuna harufu ya ufisadi katika ununuzi wa ndege mpya

    Kama rais anachukua hela hazina mwenyewe na kununua bila kuhusisha wizara husika na bila kutuma wataalam wa kuikagua na kulipa hela yote kabla hata ndege hazijaja hata kama kuna ufisad utahusisha wizara gan iliyohusika ili wajiuzulu?hana washauri rais huyu tunamwomba ahutubie taifa kila mwisho...
  13. D

    Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

    Sijui ni lini tutampata rais tumwombee amaliz awam yake hii salama na haya ndo matatizo mnamwita mtu Dr wakt hana sifa
  14. D

    Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

    Ccm wanalindana wao kwa wao inawaonea wanyonge na kuwaacha mapapa ikiwaita wanasiasa wakati wanaishi kwa kodi zetu.
Back
Top Bottom