CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

CHADEMA kwenda Ikulu kiulaini 2020

Yaani unasifia mtu kufoji vyeti si ajabu hata mafisadi mtawasamehe
 
Kuna watu kila kukicha wanawaza ujinga tu!! kwa mawazo hayo ni bora hiki chama kiwepo tu maana hakuna mbadala wake kama mawazo yenyewe ni haya!
 
Watanzania hatujafikia ukichaa wa namna hiyo kuchagua chama cha waropokaji na mafisadi kwenda ikulu
 
Sis tutaiona hatumaanishi tnangangania madaraka bal tunataka haki sawa kwa wote nchi hii sio Mali ya ccm waha hakuna mwenye hat miliki ya nchi acha ubwege
 
Labda yule aliyegombea na picha peke yake hakuna mwingine alyeingia au atakae ingia ikulu kiulaini. Si Mkapa, si Kikwete, si Magufuli jasho lilitoka na magoli ya mkono kufungwa hata bank kuu iliipata, na huenda escrow pia ililalia huko. CDM mfanye kazi- mpiganie mazingira ya uchaguzi yawe sawa, mkonge nyoyo za wananchi (mijini na vijijini), muache kubadili gea angani, muwe na ajenda inayofahamika na kuaminika. Mshikamano wa wapinzani muujenge mapema kuondoa mitafaruku kati yenu dakika za mwisho (kwenye kusimamisha wagombea wa pamoja). Hayo yakitimia uwezekano wa kushinda upo.
Ile kijani ni nuksi sana, tumeistukia long lakini inapiga goli la mkono bwana.
 
Na iwe hivyo. Nishachoka na chama cha majambazi. Hii 15%, no increment, ajira kawapa mafisadi wenzake. Watapata shida
Wasipochakachua kura, ccm inaondoka. Ccm zanzibar walibebwa na jecha.
 
Yeah sisi chadema hatuungi kufukuza awafanyakazi walioko kazini kwa sababu ya tofauti ya vyeti..sisi tungewambia wajiendeleze taratibu kufikia kiwango kinachotakiwa.
Basi hata majambazi mtawarudishia bunduki zao na kuwambia wabadilishe mienendo yao... you are a joke.
 
Ile kijani ni nuksi sana, tumeistukia long lakini inapiga goli la mkono bwana.
Jamaa hao ni chama dola na likatiba libovu linawapendelea kwani tume, polisi, UWT wamegeuza kuwa mali zao. Wakishindwa kabisa wana ita Jecha game inalala na ndio maana huyu mjomba anasema katiba mpya siyo muhimu kwake. Kama hatupati katiba mpya angalao vipengele vya uchaguzi kama vilivyokubaliwa kati ya JK na wapinzani vipitishwe. Hata JK dakika ya mwisho alisita na hapo ndio JECHA alipoingilia. Huku bara walisambaratisha tallying centre ya CDM mchezo kwisha.
 
Hawa ni wabakaji, tangia enzi za Chama kushika hatamu pesa za serikali zilitumia kujenga ofisi za CCM. UWT, Umoja wa Wazazi na Vijana ni jumuia za chama huko ndiko kulikozalisha mabashite.
 
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
Bila Tume huru sahau hiyo ndoto ya mchana.
 
CD
Labda yule aliyegombea na picha peke yake hakuna mwingine alyeingia au atakae ingia ikulu kiulaini. Si Mkapa, si Kikwete, si Magufuli jasho lilitoka na magoli ya mkono kufungwa hata bank kuu iliipata, na huenda escrow pia ililalia huko. CDM mfanye kazi- mpiganie mazingira ya uchaguzi yawe sawa, mkonge nyoyo za wananchi (mijini na vijijini), muache kubadili gea angani, muwe na ajenda inayofahamika na kuaminika. Mshikamano wa wapinzani muujenge mapema kuondoa mitafaruku kati yenu dakika za mwisho (kwenye kusimamisha wagombea wa pamoja). Hayo yakitimia uwezekano wa kushinda upo.
CDM iingie Ikulu? Thubutu? Labda 2055
 
Vijana mtakuwa masikini mkiendelea kujadili upuuzi bila kufanyakazi. Uchaguzi ni 2020, leo ni April 2017 subirini muda wa kampeni ndo muanze kujitia moyo kama 2015.
 
CDM kwenda Ikulu? Thubutu!! L
Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
  • 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
  • Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
  • Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
  • Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
  • Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
  • Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
  • SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.
CDM kwenda Ikulu? Thubutu? Labda 2055
 
kweli chagadema ni ya wavuta cha ARUSHA kama alivyojipambanua mbowe kwa kumvuta haraka wema alipobainika anatumia cha ARUSHA na hata mleta mada inaonyesha umetoka kutumia na hauna muda mrefu toka uanze kutumia sambamba na kuingia chagadema
 
Endelea kuamini hivyo!!!! Nilicho andika ni kwamba hakuna ushindi ulio laini. Kama ni 2020 au 2055 kazi iko kwao.
Haitakuja kuna kutokea CDM kupata kura nyingi tena! 2020 watapotea kabisa. Kwanza hawana Mgombea
 
Back
Top Bottom