Pongezi za Lowasa kwa Rais Magufuli ni kichaka cha kujificha kutokana na kuhusika na kuuza Buzwagi

Nitoe wito kwa Rais Magufuli. Usirudi nyuma. Pambana na kila aliyehusika na baada ya hapo tutakuwa salama. Upo ushahidi wa wazi wa Lowasa kuhusika kwenye maskandali mengi hapa nchini. Suala la IPTL na uuzwaji wa mgodi wa Buzwagi. Ushahidi upo na hakuna mahala Lowasa ataponea. Hizi mbeleko za Lowasa kwa Rais Magufuli kwa sasa ni too late.
Ngoja tumalize hili la Acacia, usiwatoe watu kwenye mstari. Huu mtindo wa kuunda tume halafu kuliacha jambo hewani na kuleta lingine ndio unalea madudu yote hayo. Huko Buzwagi iundwe tume lakini hili la vigogo wa CCM kuliibia taifa lisibakizwe hewani
 
Lizaboni: Hukishangai chama chako cha CCM na serikali yake kinampiga marufuku Chenge kusafiri nje ya nchi kwa kuiuza nchi kwa bei ya kutupwa. lakini mtu huyo huyo chama cha CCM kinampa madaraka ya kuliongoza bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotoa maamuzi makubwa ya Taifa na kutunga sheria za nchi. Hii CCM inatuona watanzania wajinga sana.
 
Kubenea aliwahi kufichua kupitia mwanahalisi kuwa Lowassa hachomoki sakata la Buzwagi.
Kama amehusika afikishwe mbele ya sheria maana naona kila siku mnapiga kelele za lowasa ushahidi hautolewi,wala kushtakiwa hashtakiwi pelekeni umbea umbea wenu mbeya huko kwa mwakyembe aliyesema anaushahidi wa ufisadi wa lowasa na mpaka leo hataki kuutoa!!
 
Lizaboni Acha kumchafua mzee wa Watu... Ningekuona muungwana ungekuja hapa, nakuanzaa kuombaa chenge,, na genge lake wafutiwe uwanachama wa chama Chako Alafu Ndo huanze kufuatilia babu wa Watu.....
Ndioo maana ndugai alisema wakisema washughulikiwe na wastafu akunaatakae pona.kwenye sakata hiloo
 
We mwenyewe mwizi kila mahali ni wizi yaan ukilala kidogo tuu lazma ukatwe kidizain flan.lowassa na kikwete walikua washirika kuuza raslimali za nchi kwenye uchumi hatumtetei mtu ila hawa watu hawafungiki gerezan
 
Back
Top Bottom