Kufuatia hatua zinazochukuliwa na Mh Rais za kupambana na wafanyakazi waliotumia vyeti feki na kuondoa wafanyakazi hewa, na mengineyo unaonyesha Mh Rais Magufuri atashindwa urais na CHADEMA kuchukua uskani kwa sababu zifuatazo;
- 90% ya wafanyakazi 550,000 wa serikali hawamtaki Mh Magufuri kwani hakuwaongezea Mshahara na pia amewaondoa wafanyakazi wenye vyeti hewa kwenye mfumo wa mishahara
- Wafanyakazi walisomea secondary nje ya nchi kama Kenya na Uganda wameondolewa kwenye utumishi wa uma kwa kusingizwa kuwa hawana cheti cha form four.
- Vijana wengi kukatika kwa biashara hivyo kuwa maskini wa kutupwa, hili kundi halitampa kura mh Magufuri
- Balozi za nje hazijafurahishwa na uamzi wa Mh Rais kuangalia kwa undani bishara ya Madini na Gesi hivyo kuamua kufadhili upinzani
- Makampuni ya simu kukaguliwa miamala yao ili kulipa kodi stahidi hawajafurahishwa na Mh Magufuri kufanya hayo hivyo kuanza kampeni za kusapoti CHADEMA
- Sekta binafisi kunyimwa tenda ya kujenga Hostel za UDSM na majengo mengine lakini pia kitendo cha serikali kupunguza safari kwa wafanyakazi wa serikali kumepelekea Serikali kufanya wafanyakazi washindwe kuspendi hivyo kufanya sekta binafsi kukoswa pesa kama dhamani hivyo wanaona CHADEMA ambayo tunajipambanua kuhakikisha kila anayeharibikiwa sasa atarudishiwa uchumi kama zamani kama suluhisho.
- SISI CHADEMA TUNAAMINI KWA KILA MTU KUTUMIA FURSA ILIYOPO HIVYO KAMA TUKIPEWA DOLA 2020 HAYA YANAYOTOKEA SASA YOTE TUTAYAFUTA NA WALIFUKUZWA KAZI WATARUDISHWA KWENYE NAFASI ZAO KAMA ZAMANI. WAFANYABIASHARA WATANZA KUFAIDI KAMA ZAMANI IKIWA PAOMJA NA WAFANYAKAZI WA SERIKALI NK.