Umeandika
Nimekuelewa sana ndugu .. Ila najarbu kuishi na ndugu zangu kwa kuwaelewa wanachokosea .. na na kuishi kwenye changu ambacho sikijui .. WELCOME
Wote mnafurahia maisha kabisa hapo
Mmoja anaamin mmoja haamini ..
Kila mtu anafurahia kutoamini .. upande wa mwenzake .. maana Kila mtu ana hoja anazozimini yeye...
YEYE alietuumba ananifurahisha sana...
Nayapenda maisha alio nipatia maana nayapenda ninavyopendezwa na vile watu ambao...
Ule mda wewe unazaliwa , ukizaliwa tu. Ile thamani ulionza kujipa kabla hujafa, hio ndo ukizaliwa unaanza nayo katika familia iliokuzaa.. HUJACHELEWA KABISA
Unaweza kupata kwetu bo
1900 tunauza Ila kuanzia PC 50
Tunauza sketi za watoto tu uzuri wetu ni kwamba unaweza badilisha mzigo mfano Umechukua PC 100 umeuza 75 ... Zile 25 ZILOBAKI unaruhusiwa kurudisha na ukachukua 25 zingine ambazo ni Aina ya wateja wako wanazo penda .. karbu sana
1900 tunauza Ila kuanzia PC 50
Ni sketi za watoto tu miaka 2 mpaka 12
Unaweza kurud kubadilisha mzigo mfano umechukua PC 200 ukauza 150 .. unakuja na zile 50 zilizobaki unachagua nzuri zaidi Tupo karbu sana
KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini.
WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza moja kwa moja.
Utapewa Skert nzuri kwa Bei ya 1900 kwa kukopeshwa .. nawewe utauza mpaka 4500...
Nahitaji kupewa ushauri kabla ya kuanza
Nyie ndo mtanipa ushauri kabla sjaingia
Kwakua mnajua sara
Nataka nitafute vijana wa 3
Niwakodie nyumba
Kisha nianze kazi yao iwe ni kila mmoja anabet team moja tu kwa siku ambayo
Ambayo ndo itakua kazi yake kila siku
Kufukuzwa kaz ni kuloss mech...
Unaopoanza biasharab unanza na wastani ,,Biashara ya nguo ni biashara ambayo inahitaji flam ya location na sio wing wa mavazi yan nikimaniisha kuwa ukuweka milion 20 dukan wakati fashion inaisha miez miwili ijayo jua umeingia loss
So tunachofanya hua tunakua na marafiki wa aina moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.