honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 231
Habari za muda huu Wana jamii forums,
Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kutembeza nguo za mitumba za watoto majumbani inalipa?
Na kwa hapa Dar niwapi naweza kupata robota kwa bei nafuu? Na ni maeneo Gani ambayo naweza kutembeza biashara yangu?
Na ni faida kiasi Gani nitatengeneza kwa siku? Na zipi ni changamoto za biashara hii? Vipi kuhusu mtaji wake??
Kwa wenye uzoefu na kazi hii msaada wenu tafadhari!!
Nawasilisha!!