Recent content by delako

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Mnapopatwa na msiba wa Jirani,Rafiki na Tajiri kila mtu ana mapokeo yake si wote mtaenda kuzika.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Nilivyofanikiwa Kumuacha Aliyekuwa Mke Wangu

    Mpaka sasa kuna wanawake watatu waliouwawa ikisemekana ni visa vya mapenzi,hii ni ndani ya mwezi mmoja
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    JPM 'alisema mtanikumbuka kwa mazuri yangu'
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

    1.Umekuwa naye kwenye mahusiano lwa muda gani sasa? 2.Je anaishi na mwanae au mtoto yupo kwa baba yake or kwa bibi? 3.Mtoto ana umri gani? 4.Wametengana lini yani wana muda gani mpaka sasa? 5.Yeye ana umri gani na wewe una umri gani? 6.Baba wa mtoto yupo hai? 7.Unaposema upo tayari kumuhudumia...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

    Aombe NSSF wapeleke michango yake PSSSF..Na kwa kuwa yupo PSSSF ambao ni mfuko chini ya GOVT maana yake yeye ni mwajiriwa wa kudumu..Akae kwa kutulia mpaka muda wa kustahafu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

    Wengi wa mabar maid wanafanya hizo kazi ili kupata connection ya mabwana...Lwa kifupi wengi wao wanafanya hiyo kazi ni kujificha tu ila wanajiuzs
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu wa kike anataka nimuoe, je tutakua tumefanya maamuzi sahihi?

    Kwani shule zimefungwa??
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni muhimu kwa wanywa pombe wenzangu

    Nashangaa sana,sijui aliyemuambia sisi tunapenda kuchelewa ni nan
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu Tsh. 600,000, nataka nikope milioni 15 nijenge na kuongeza mtaji wa biashara, naomba ushauri

    Una umri gan? Yani maswali kwako ni mengi sana
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mshahara wangu Tsh. 600,000, nataka nikope milioni 15 nijenge na kuongeza mtaji wa biashara, naomba ushauri

    15 Milioni ni nyingi sana ukiwa huna na haujawai kuishika, Je una kiwanja??kama unacho unataka kujenga mjini au kijijini?(Mahali kiwanja kilipo kama kipo) kujenga mjini ni gharama sana kuliko kijijini ila kujenga ni gharama.. Kama ni mtu wa starehe achana na mikopo (Starehe yaweza kuwa ya Pombe...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mama Mjane aliyehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa kosa la kununua mihogo ya wizi ya shilingi elfu kumi .

    Ina maana amehukumiwa kifungo bila sehemu ya faini??ninachojua ni kifungo cha miezi 6 kama unavyosema au faini ya shilingi kiasi fulani....Binafsi naona kuna mapungufu makubwa kwenye maelezo yako..Futatilia faini ni kiasi gani ili kilipwe
  12. D

    JamiiForums Tanzania Anaandika Jemedari Said kuhusu sakata la Simba

    Kuweni makini sana na mapoli yaliyomo jirani wakipita tu hao jamaa wameyashusha
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    Kuna maboresho madogo na MAKUBWA,Miezi kadhaa maboresho yalikuwa CRDB na system kuja kukaa sawa ni zaidi ya week 2...This is AFRICA
Back
Top Bottom