Yan hawa jamaa wanautani tangu Jana hakuna linalofanyika mchana huu napata sms et "tigo inakutakia heri ya siku ya karume " bado hawatambui hasara walotupatia tangu Jana watoe asilimia 3
Habarini wandugu zangu,naomba msaada wanaotengeneza mabox kubebea vifaranga ani pm tufanye kaz mi mjasilia Mali mdogo sana asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
joshua_ok, Kaka hapa jf ndo penyewe,weka Uzi wa mapenzi utachangiwa na kila MTU ukinogesha na kapicha ndo balaa,ila ukiweka mambo ya fursa Fulani wawili au watatu hii ndo Tanzania,eee mungu tuepushie hiyo corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji chanjo ya kuku ya IB Infecious coryza. Niko nahangaika hata sijui nitaipata wapi naombeni anaeijua inapopatikana aniambie na bei.
Asanteni
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Hahahaaa, Mimi pia nimeonja mama MTU mzima hakika sijutii, yani hasa uwe wamfikisha Kilimanjaro hutojutia pia sio mufrisi kama hawa wanaoweka kope na rangi za midomo kama makinda ya hondohondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siweki akiba ndani na sijui kuweka akiba,ila nawekeza sana vitu vyakuuzika haraka kama kuku mbuz kondoo,sijui kama Niko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wandugu,
Mimi ni kijana niko na 31 years naishi maisha ya kawaida sana. Najishughulisha na ujasiriamali, namshukuru Mungu kipato si haba lakini tatizo jamii inayonizunguka hawanikubali kabisa.
Na mwanzo nikiwa boni pua maisha yalikuwa safi kabisa sasa niwafanyie nini hawa viumbe ili...
Yan nawe pia unaukabila ulijuaje wanaukabila,wewe ulitaka waongee lugha yako,wasioijua nasema sisi wazalamo ujinga hatutaki tutaongea lugha hadi mwisho
Huu ni unafiki gari lako,sio lazima unipe lift na kwann uniongelee huku huniambii hutaki ,acha zako nibajet tu mkuu nitanunua langu ngoja vyuma viachie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.