chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,379
- 5,887
Mkuu, Umeshawahi kusikia kizaramo kikizungumzwa Daresalam na vitongoji vyake??Mkuu chabuso umenifurahisha sana kusema et wazaramo wamehama dar kwend vijijini eti kwa lengo tu la kwenda kudumisha lugha yao. Hiv inaingia kwel akilini? Vipi na huku vijijini tukiingia, mtaenda wap tena?
Ok, haya nyie nenden tu mkadumishe lugha yenu + ngoma, sis tuchangamkie fursa.
Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia ati lugha ya kizaramo imepotea, haiuzungwimzi tena..
Waacheni Wazaramo wajimwage na ngoma zao, lugha yao nk..
Baho Baho Baho.. Maneno kidogo, Wazaramo hao.. 🎉🎉🎉