Recent content by dejan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Polisi Moshi yazuia jeneza la mwili wa Ndesamburo kupitishwa barabarani

    Kwa hili hata Mimi sijapenda kweli nimeamini chadema hawajabadilika bado WaPo kwenye uanarakati. Mzee ashakufa mwacheni apumzike
  2. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya "Vuta Nikuvute" sasa mwili wa Mzee Ndesamburo kuagwa Uwanja wa Majengo badala ya Mashujaa

    Hiki chama ndo kitaleta machafuko nchini bora kifutwe kimekosa ustarabu kabisa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuzikwa Ndesamburo: Godbless Lema umetia aibu

    Kwani rambi rambi nani anakusanya
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nilijaribu kumzuia Lucy Owenya kuchangia Bungeni

    Hahaha *****
  5. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutinga Dar muda wowote kufatilia sakata la Mbowe!

    atazungusha na mikono ila angalie asijinyee wale ffu wakisogea pale
  6. D

    JamiiForums Tanzania Manji asitumike kisiasa na wazinifu wa kisiasa

    Mada imewagusa wazungusha mikono hapa huwaoni
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuingilia mihimili mingine na kuvuruga taratibu kuna hatari mbeleni kuficha maovu!

    Acheni kulalamika tumepata raia mzuri Sana mtetezi WA wanyonge, halafu bavicha uchaguzi umeisha tujengeni nchi pamoja
  8. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu baada ya hitimisho la siasa za makonda!

    nilichojifunza msema kweli siku zote anakua adui wa watu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wengine wametajwa, wengine wamefanywa siri, haki na usawa viko wapi hapa?

    acha kuimba taarabu wewe hii vita ni yetu sote makonda anapaswa apongweze kwa nini mnakua hamkosi visababu kwa kila juhudi zinavyofanywa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Salam za Mstahiki Meya Boniface Jacob kwa Mh Aikael Mbowe

    wazungusha mikono hamuishiwi hoja
  11. D

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kama Isaka, mtoto wa pekee wa Magufuli!

    Apewe kabisa wizara ya mambo ya ndani makonda Ni kiongozi watanzania tuliokua tunamuhitaji
  12. D

    JamiiForums Tanzania Makonda ni Magufuli ajaye

    Wanywa viroba, nyumbu, wazungusha mikono au wazee WA kupinga kila kitu hawawezi kukubali ukweli makonda Ni chaguo sahihi kwa Dar
  13. D

    JamiiForums Tanzania TABORA: Mkuu wa Wilaya ya Uyui abwaga manyanga!

    sasa bavicha mnashangilia nini
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mstahiki Meya Ubungo: Rais Magufuli atazindua mradi wa DART aje na majibu ya maswali haya

    Acha kulalamika fanya kazi
  15. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Njia ya Ikulu 2020 nyeupe

    fisadi kuu haliwezi kupewa ikulu
Back
Top Bottom