Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Siyo yeye tu hata huyu aliyepo sasa hafai sababu hana hata kiduchu cha diplomasia.Wanafanya kazi kama Team Leader wa vibarua vile hawajui kuwa wanaongoza binadamu. Uliona wapi na nchi gani kuna order kama za siku saba hapa duniani. Rais anatoa siku saba, waziri mkuu siku saba, mkuu wa mkoa siku saba na mkuu wa wilaya siku saba. Upinzani wanatoa siku ishirini na moja kwa serikali utadhani ni al Qaeda ama ISIS wanasubiri Ransom. ni shaghala baghala tuHuyu jamaa hafai kuwa kiongozi mkubwa kama raisi wa nchi,huyu jamaa anamsimamo wa kila kitu anaweza kuamua yeye binafsi,sifa za mtu kama huyu hawezi kuwa kiongozi.
kama atakuwa kiongozi cha kiwango cha raisi basi atakuwa dikteta,kiongozi mzuri ni yule anaejua matatizo ya wananchi na kuyaamua kihekima huju jamaa hana hekima,hekina ni kipaji.
Tazama huyu kiongozi wa sasa anavyowapelekesha watanzanzia,hafuati katiba,hafuati maaadili ya Tanzania,visasi nk.
Huyo makonda bora mwisho wake uwe hapo hapo.