MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #41
Lowassa amenunua nafasi ya kugombea Urais wa Tanzania ndio maana anasema yeye ni mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA mwaka 2020.Na uzuri akuna Nyumbu yoyote wa kumkemea
Lowassa amenunua nafasi ya kugombea Urais wa Tanzania ndio maana anasema yeye ni mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA mwaka 2020.Na uzuri akuna Nyumbu yoyote wa kumkemea
Sumaye alijiunga CHADEMA kama back up incase Lowassa angeishia kwenye kampeni aishiwe nguvu ya kusimama kama mgombea. Bahati mbaya Lowassa alifurukuta na nguvu yake imeongezeka sana hata 2020 atakuwa fit ile mbaya. Lowassa hampendi kabisa Sumaye ila basi tu na hata kujiunga kwake UKAWA Lowassa alifichwa mpaka aliposhtukia iko kwenye press. Sumaye hagombei labda Lowassa afe au arudi CCMMasikini Sumaye!
Ndoto zake zinaendelea kuzikwa!
Sumaye alidhani mwaka 2020 itakuwa zamu yake!
Kuna hatari ya watu kugawana fito!