Mstahiki Meya Ubungo: Rais Magufuli atazindua mradi wa DART aje na majibu ya maswali haya

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
235
1,275
1.Uhalali wa fedha/hisa za mshirika wa DART ambaye ni UDA?

2.Je fedha za mauzo za UDA kutoka SIMONI GROUP ambazo baraza la madiwani wamegomea Kuzipokea, bei ya kutupwa mauzo ya UDA billinioni 5.5 sasa zipokelewe au hata yeye hana jibu?

3.Je Mheshimiwa Rais anajua kuwa mshirika wa mradi wa DART amekuwa akishutumiwa kwa kashfa mbalimbali za uuzaji wa hisa za UDA,Kutoka kwenye ripoti za CAG,PAC na mijadala ya BUNGE.

Mh.John pombe Magufuli,akizindua bila ya kutoa majibu hayo,nidhahiri ameongeza utata mkubwa wa mzozo huo,au wajanja watakuwa wamemuingiza mjini.Na kutakatisha Dili la watu.

SENIOR COUNCILOR UBUNGO

MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA UBUNGO
BONIFACE JACOB
 
1.Upi Uhalali wa fedha/hisa za mshirika wa DART ambaye ni UDA?

2.Je fedha za mauzo za UDA kutoka SIMONI GROUP ambazo baraza la madiwani wamegomea kuzipokea, bei ya kutupwa mauzo ya UDA billinioni 5.5 sasa zipokelewe au hata yeye hana jibu?

3.Je Mheshimiwa Rais anajua kuwa mshirika wa mradi wa DART amekuwa akishutumiwa kwa kashfa mbalimbali za uuzaji wa hisa za UDA,Kutoka kwenye ripoti za CAG,PAC na mijadala ya BUNGE.
 
Protokali awamu hii mbona hazizingatiwi? Yan mkuu was wilaya anapewa heshima kushinda meya wa jiji
 
Hivi yeye kama Mayor kazi yake ni nini? Hajui UDA iko chini yake pamoja na UKAWA wenzake Jiji?

Wamekuta kuna nini na wamefanya nini?

Hatukuwachagua kuleta maneno ya kukimbia wajibu eti wanasubiri rais.

Back
Top Bottom