GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,333
Unapoingia kwenye ndoa maana yake umejikabidhi kwa mume na mke huyo husika. Unahalalishiwa tendo la ndoa. Linakuwa halali na kesho tukikuona una au mkeo ana mimba tunakupongeza.
Kinyume chake kama hujalalalishiwa mke au mume ukafanya naye tendo la ndoa unakuwa umezini. Na kama umeoa au kuolewa na ukatoka nje ya ndoa unakuwa mzinifu pia.
Nashangaa Leo kuna watu wanamtetea yusufu manji. Huyu ambaye awamu iliyopita alionekana ni
Mmoja ya mafisadi kwa kupewa tenda nying zenye maswal. Huyu ndo alinunua jengo la quality plaza kwa bei ya chini aka repair kwa rangi na kuja kuliuza kwa bei kubwa sana nssf. Na kisha kuja kukaa bure.suala la manji kuhusishwa na madawa halikuanza leo.
Lakin kwa kuwa amekamatwa magufuli na makonda ambao hatuwapend basi adui wa adui yako ni rafiki yako.
Watu wameshasahau na ufisadi uliokuwa ufanyike coco beach. Wamesahau ekali nyingi za kiwanja huko bagamoyo ambacho alipoona mambo mazito akaamua kukigawa kwa yanga. Nao kwa kutokufikiria sana wakashangilia sana.kumbe mwenzao alishaona ni chamoto.leo wanasiasa wazinifu wa kisiasa wanamtetea manji?
Hawa wanapata wapi ujasiri huu wa kishetani? Katika hili ni bora nijitoe upinzani. Hawa wapinzani si ndo walipita nchi nzima kusema edward lowassa ni fisadi bila kumpa nafasi baba ya watu kujitetea?
List ya mwembechai si ilitangazwa nchi nzima watu walihukumiwa kwa ile list kwenye mikutano mwembechai. Leo manji anatetewa na akina zippora na wanasiasa wengine wazinifu wa kisiasa. Ambao siku zote wanaangalia wapi kuna nafas nao wajitokeze.