Mambo n vp wadau wa "JF"
Thumuni la uzi ni kuomba msaada toka kwenu kwa mwl yeyote mwenye scheme of work form 3 naomba anisaidie
Natanguliza shukrani [emoji120]
Vyema ukasoma vitabu vinavyo elekeza jinsi ya kumiliki wazo lako la kibiashara,anzia hapo kwanza then kila kitu kitakuwa clear
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pole my Sister......
Mbona simple sana hilo jambo lako
Fanya mambo haya
1: Meditation
2:Yoga
3:Read personal development books
4:workout(Physical exercise)
5:Spend your alone time on Nature like Beach,Forest......
6: positive words Affirmation
ANZA LEO NA MAISHA YAKO YATABADILIKA
For...
Kila kitabu hapa nimesoma zaidi ya Mara 5
1:The monk who sold his Ferrari by Robiin Sharma
2:48 laws of power by Robert Greene
3:Jab,Jab,Jab,Right hook by Gary Vaynerchuk
4:The Baron letter by Gary C Halbert
5:A perfect guide for personally development by David Allen
6: Think & Grow...
Note:Usihusishe Hip hop na tabia binafsi
Nini maana ya hii semi,si wanawake wote wa kihaya wote wanatabia chafu kama za huyo mwanamke wako hiyo ni hulka yake tu kwani wapo jamaa zangu wawili "wameoa" wanawake wa kibila hilo na wanaendelea vizuri sana ktk maisha yao ya ndoa takribani miaka...
Sometimes wanachukuaga matokeo hata ya o level ya B/math sasa chunga Sana kutaka kusoma course zenye kuhitaji matokeo ya hesabu either ya o level or Advance ikiwa o level uko na "F" kupata "S" ya B/Math A level sio kitu kidogo ndugu yangu sababu ni nyembamba sana kwanza hilo somo ni subsidiary...
Bro hii issue imekuwa Ni debate ambayo haiwezi kuisha kamwe kwani hata hao walio soma pia na kufika vidato vya juu wengi wao wamegeuka kuwa watuma kwa whites baada ya kutengenezewa mfumo ambao huwezi ona kwa tafakuri za ndotoni
Kuna muda huwa naonaga mtu ukipata maarafa na ukayaamini kuwa ni...
Hii ni jamii ya kabila moja linalopatika ktk Jangwa la Namib lenye sifa kuu moja ya kukaribisha mgeni kwa kufanya nae mpanzi I meen wakitembelewa na mgeni muhimu basi mgeni huyo huchaguliwa binti ambaye ata mpa raha kama heshima ya ujio wake
Kama ilivyo kwa makabila mengi ya kitanzania mgeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.