Recent content by deebo

  1. deebo

    Tabora: Aggrey Mwanri amesitisha kwa muda kuendelea na ujenzi wa tenki la maji uliokuwa ukiendelea wilayani Uyui

    Bwileee soma hiyook!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. deebo

    Kwa joto hili unawezaje kukaa kifuani kwa demu dk45

    Ngoja tuwaachie uringo watu wa dar[emoji3][emoji3]
  3. deebo

    Mwanaume ambaye hana elimu lakini ana hela, anajua kuhudumia na kujali mwanamke kuliko mwanaume mwenye elimu na hela

    Tatizo la wanawake ni kua mtu hujaolewa lakin unataka kupata huduma zote zinazo patikana ndan ya package ya ndoa. Unakuta mahusiano yapo kwenye level ambayo hata kutambulishana bado lkn mtu anataka codes zote zilizopo kwenye ndoa.. Upuuz tu acha muendelee kuliwa na kuachwa...
  4. deebo

    Je, kiwango cha wanasiasa wa upinzañi kiko chini ya wastani?

    Ili tujue kama kipo chini au juu.. Kwan wastan ni kias gan?
  5. deebo

    Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

    Mvulana miaka 31.. Ngoja nije kwanza[emoji23][emoji23]
  6. deebo

    Wanawake wapeni waume zenu unyumba pia wanaume mjirekebishe

    Ngoja tuendelee kutizama w Mambo yanavyoenda.. Ila ukiona kitandani hamna kitu hapo hamna ndoa[emoji23][emoji23]
  7. deebo

    Wanawake wapeni waume zenu unyumba pia wanaume mjirekebishe

    Ndio ndoa zipo hivyo skuiz.. Tusidanganywe... Tafuta mtoto mkali kikubwa muendane... Bro ukioa mwanamke ambae amuendani atakuboa tu.. We sio mtu wa ibada.. Mwenzako mtu wa ibada.. Akikwambia mkasali utaona miyeyusho tu atakua anakuboa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. deebo

    Kuna vitu vinatia kinyaa

    Ok nmekuelewa[emoji23][emoji23]
  9. deebo

    Tabia za mwanaume akiwa na pesa

    Uelewa wangu upo hivi... Watu wanao onyesha hizi tabia ni wale ambao aidha ndo anaanza kupata pesa... Au karithi yaan kupata mali za mkupuo bila kutokwa jasho... Ila kwa wale ambao pesa zao sio za shortcut alipambana kupata noti moja hadi nyingine hadi kujijenga kupata pesa nyingi hawa watu hua...
  10. deebo

    Kuna vitu vinatia kinyaa

    Not everythng is for u.. Guess u shud teach ur mind to see those which are for u.. Vinginevyo utaumia na mambo mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. deebo

    Wanawake wapeni waume zenu unyumba pia wanaume mjirekebishe

    Ukifika wakat wa kuoa... Utaskia mwanamke sio urembo ni tabia.. Hii kauli me kwangu ipo tofauti kidogo.. Hata kama mwanamke anatabia nzuri vipi.. Kama hajakuvutia usioe.. Baada ya kuvutiwa ndio anza kuangalia tabia.. Wakat mwingine anae poteza ham na mwenzake ni mwanaume.. Huez piga mzigo kama...
  12. deebo

    Hapa Zari anamaanisha nini?

    Kama vipi aje kwa makonda[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. deebo

    Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

    Achana na hiyo bado sana... Kuna bombardia imezinduliwa juzi na rais.. Hatar sana aisee[emoji23][emoji23]
  14. deebo

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Kuna namna hii nataka nikujibu mkuu.. Ww una iman kua Mungu hayupo.. Eleza points zako zinazopelekea kuamini mungu hayupo alaf mm ntakua nakujibu kwa hoja kulingana na tatizo lako.. Yaan ntakua nafanya kaz ya ku prove wrong.. Badala ya kuleta maelezo kede kede kuhusu uwepo wake... Nadhan...
  15. deebo

    Nini hukumu yao siku ya Kiama kwa wale wasiopata neno la Mungu tangu wazaliwe hadi kifo?

    Mungu yupo fair... Hukum zake si kama za binadam kua kutojua sheria sio sababu ya kuvunja sheria.. Utahukumiwa accordingly... Na hukum ya kwel ni yake Mungu maana kila kitu kipo wazi.. Huta hukumiwa kwa kitu usijo kijua.. Kwetu sisi waislam ukifanya kosa bila kujua kama ni kosa si dhambi
Back
Top Bottom