Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Mchumba wangu kamtumia ex-wake picha za uchi

Huu si ushauri wa kufaa kabisa. Kama tiyari kesha achana naye, nadhani sasa atakuwa mwaminifu zaidi kwa huyu wa sasa. Kutumiana picha tu, tena za viuchi vyao kama vilivyo tu wala si zana zikiwa kazini nadhani anamtamanisha tu kuwa; Umezira chitamutamu, sasa kuna mwenee
Vtu vingine mnavyovitetea muwe mnaangalia jamani mtakuja pigwa bureeeeee watu wana hasira ati unasema anamtamanisha? Tena mke mtarajiwa wa mtu umtumie mwanaume mwengne utupu wko kweli? Haaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Pole , tatizo limeanza wewe ulipoomba simu! Siku nyingine usimuombe simu kama huna vocha nenda dukani ukanunue! Ukizingatia huu ushauri utafunga nae ndoa na ndoa yenu haitakuwa na matatizo.
 
Vtu vingine mnavyovitetea muwe mnaangalia jamani mtakuja pigwa bureeeeee watu wana hasira ati unasema anamtamanisha? Tena mke mtarajiwa wa mtu umtumie mwanaume mwengne utupu wko kweli? Haaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa

Mbona anaenda kuuonesha kwa dakitari endapo umechelewa kumpa mimba?? Kama hutaki uonwe na mwanamume mwingine, hama sayari hii.
Lipi bora, Ex wake azidi kukodolea macho au mtu mgeni?? Kuona ndizi iliyoiva sio kuila
 
Salaam wanabodi,,,
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 31 niko kwenye mahusiano na mdada flani huu ni mwaka na miezi 4 na nilipanga mwezi wa 7 nipeleke posa nimuoe,,!!! Tatizo huwa hatukai pamoja tuko mikoa tofauti hivyo mara kwa mara yeye huwa anakuja kila akipata nafasi'' wiki 2 zilizopita alikuja kwangu kwa bahati mbay niliomba simu yake kuna kitu nilikuwa naangalia "Lahaullah" sikuamini nilichokiona. ,,nimekuta kuna jamaa wanatumiana picha za utupu,,yaani yy anatuma uchi wake na yy anatumiwa mtulinga wa jamaa!! Nashukuru sikufanya chochote kibaya zaidi ya kumpa nauli arudi alikotoka!! Napata wakati mgumu sana wandug
Miaka 31 unajiita mvulana?? Ngoja tu atume uchi wake aseee sio kwa mvulana wewe
 
Mbona anaenda kuuonesha kwa dakitari endapo umechelewa kumpa mimba?? Kama hutaki uonwe na mwanamume mwingine, hama sayari hii.
Lipi bora, Ex wake azidi kukodolea macho au mtu mgeni?? Kuona ndizi iliyoiva sio kuila
Wacha weeeee
 
bora umesema vema....wewe ni mvulana.......ukikua....yaani ukiwa "Mwanamume" hutajaribu kugusa simu ya mwenza wako......ni hatari kuliko kujamba masjid....
 
Kweli dada,,, kinaniumiza zaidi muda niliopoteza kwake
Pole mkuu... Ila ndo ivyoo....unakuta kunamtu alikupeda ukamuona boya, mpuuzaa au ulimtenda sasa hayo ndo machozi ya yule mtu.... Mungu anajia nyingi mmoo. Jipange upya tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom