Hapa Zari anamaanisha nini?

Hapa Zari anamaanisha nini?

What I think is like she expected some kind of coaxing from the Tandale boy,but obviously it turned out to be different. We have to understand women.
Hahahahah A bossLady should be a woman of her words...unless she's just an affiliated boss
 
View attachment 745524
Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz ambaye ni mama wa watoto wawili wa msanii huyo, Zari The Boss Lady ameshindwa kuficha hasira zake na kumshambulia kwa matusi mtandaoni.

Mashambulizi ya Zari aliyoyatoa kupitia snapchat, muda mfupi kabla hajaelekea kanisani yalionekana yakihusishwa na ujumbe ambao Diamond aliuandika kwenye Instagram kuhusu wanawake akipigia debe tukio linalofywa leo na Zamaradi Mketema.

“Ikiwa Mama yangu alinilea Pekee hadi kufika hapa…Naamini Mwanamke ni Kiongozi bora Mwenye kuweza kuleta Maendeleo na Furaha ya Kweli Ulimwenguni….Please Tag wanake wote Wapambanaji na Wapenda Maendeleo waambie @zamaradimketemaKawaandalia jambo Kesho [leo],” aliandika Diamond.

Dakika chache baadaye, Zari aliweka ujumbe wake uliojaa hasira akitumia maneno makali na kumuita Diamond ‘mjinga’. Ingawa hakumtaja jina, kitendo cha kumkosoa kwa kushindwa kuwaona watoto wake kwa muda mrefu kinaonesha kuwa anayezungumziwa ni baba Tifah.
Baadaye, Zari aliweka picha inayomuonesha akiwa mbele ya kioo na nguo nyingi na kuandika ujumbe kuwa ni muda wa kanisani.

“Some manages need to do quality assurance before their artist alter nonsense for public whatever… when last did you see your kids I believe they forgot all about you dummy… Think before you caption. Idiot. Mxuiiii,” aliandika.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, “Mameneja wengine wanapaswa kuhakikisha ubora kabla wasanii wao hawajaweka upuuzi kwenye mitandao ya kijamii kwa kupata kiki kivyovyote… hivi ni lini mara ya mwisho umewaona wanao.. Nina amini wamesahau yote kuhusu wewe mpuuzi…. fikiria kabla ya kuandika kwenye picha. Mjinga.”

Zari alitangaza kuachana na Diamond, akaiachia rasmi funguo za ikulu ya WCB ya Madale na kuhamia nchini Afrika Kusini.
Hakujua ana zaa na kijana mtoto????akili bado hazijakomaa
 
Huwa inaniwia vigumu ku_judge maisha ya couple kama hizi, kwa sababu sijui wamepitia mambo gani.

Lakini kama umeshaachana na mtu, hii kuchunguliana kwenye social networks kuona ex wako ka_post nini inakuhusu nini tena?

Na kama umeamua kulea watoto si ulee tu! vinginevyo nenda kimya kimya kawasilishe malalamiko yako ustawi wa jamii juu ya kutelekezwa kwa watoto.
Well said
 
unajuwaje kama anaongelea Dai? dah watu wengine majanga kweli..
 
Mwanamke ukimuacha na umezaa naye ni shida tupu, hapo watoto hata uwajali vipi atasema huwajali ili mradi amepata pa kusemea. Hii inanitokea hata mimi na mzazi mwenzangu
Acha tu Mkuu wangu,
Na Hivi Wanawake wanatumia mwanya wa kuishi na mtoto ndio wanamjaza maneno chungu mzima ya uongo kuhusu Baba mpaka mtoto anaanza kumchukia Baba yake kwa maneno ya Ungo.
 
Ila huyu dogo dimondi inabidi apimwe akili sio kwa mambo hayo
 
Anywe panadol atapona halafu watoto wamemsahau baba yao ndani ya miezi miwili tu?? Kama ni kweli basi ni baba yao wa kufikia sio mzazi hahahahahaha
 
View attachment 745524
Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz ambaye ni mama wa watoto wawili wa msanii huyo, Zari The Boss Lady ameshindwa kuficha hasira zake na kumshambulia kwa matusi mtandaoni.

Mashambulizi ya Zari aliyoyatoa kupitia snapchat, muda mfupi kabla hajaelekea kanisani yalionekana yakihusishwa na ujumbe ambao Diamond aliuandika kwenye Instagram kuhusu wanawake akipigia debe tukio linalofywa leo na Zamaradi Mketema.

“Ikiwa Mama yangu alinilea Pekee hadi kufika hapa…Naamini Mwanamke ni Kiongozi bora Mwenye kuweza kuleta Maendeleo na Furaha ya Kweli Ulimwenguni….Please Tag wanake wote Wapambanaji na Wapenda Maendeleo waambie @zamaradimketemaKawaandalia jambo Kesho [leo],” aliandika Diamond.

Dakika chache baadaye, Zari aliweka ujumbe wake uliojaa hasira akitumia maneno makali na kumuita Diamond ‘mjinga’. Ingawa hakumtaja jina, kitendo cha kumkosoa kwa kushindwa kuwaona watoto wake kwa muda mrefu kinaonesha kuwa anayezungumziwa ni baba Tifah.
Baadaye, Zari aliweka picha inayomuonesha akiwa mbele ya kioo na nguo nyingi na kuandika ujumbe kuwa ni muda wa kanisani.

“Some manages need to do quality assurance before their artist alter nonsense for public whatever… when last did you see your kids I believe they forgot all about you dummy… Think before you caption. Idiot. Mxuiiii,” aliandika.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, “Mameneja wengine wanapaswa kuhakikisha ubora kabla wasanii wao hawajaweka upuuzi kwenye mitandao ya kijamii kwa kupata kiki kivyovyote… hivi ni lini mara ya mwisho umewaona wanao.. Nina amini wamesahau yote kuhusu wewe mpuuzi…. fikiria kabla ya kuandika kwenye picha. Mjinga.”

Zari alitangaza kuachana na Diamond, akaiachia rasmi funguo za ikulu ya WCB ya Madale na kuhamia nchini Afrika Kusini.
an i-diot can only fnck and have kids with a fellow i-diot!

kapish??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom