Recent content by dedam

  1. dedam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Edward Kinabo ataendelea na kampeni zake kesho maeneo ya Mtambani Jimbo la Kibaha Vijijini

    *KINABO KUUNGURUMA MTAMBANI KESHO* Mgombea Ubunge Jimbo la Kibaha Vijijini (CHADEMA), KINABO EDWARD, leo ameendelea kuyafikia mamia ya wananchi wa mji wa Mlandizi, Kata ya Mtongani kupitia kampeni yake ya Nyumba kwa Nyumba, Mtu kwa Mtu, Kijiwe kwa Kijiwe iliyofanyika kwenye baadhi ya Kata za...
  2. dedam

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Marudio wa Ubunge majimbo ya Kinondoni na Siha, Udiwani Kata 8: CCM yanyakua majimbo yote!

    kila kituo kina wajibu wa kutangaza matokeo wanapokamilisha kuhesabu
  3. dedam

    JamiiForums Tanzania DED Meru aanza kuvuna alichopanda, NEC yamweka pembeni uchaguzi mdogo, Afisa Elimu sekondari kateuliwa kusimamia

    Afisa elimu secondary ni mkuu wa idara anaweza kukaimu uded kwa kuteuliwa kuwa msimamizi wa uchaguzi ana mamlak kamili kama mwajiriwa wa nec ded anakaa pembeni
  4. dedam

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Kozi ya certificate in secretarial

    Vyuo vya utumishi wa umma ndio wanatoa hiyo kozi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. dedam

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Kozi ya certificate in secretarial

    Lazima awe na angalau d 4 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. dedam

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Peoples Bank Of Zanzibar (PBZ)

    Hii bank kwa hapa tanzania tawi lake lipo wapi
  7. dedam

    JamiiForums Tanzania Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    Joining instruction ya tarakea secondary naipataje
  8. dedam

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa kanisa KKKT utoe tamko haraka kuhusu yaliyojiri Jana Kimara

    Ni kweli siku hizi kkkt imeacha misingi yake Siku hizi nimeacha hata kwenda kanisan Zaman usharika wetu ulikuwa na ibada mbili lakn siku hizi ibada ni moja tu Waumini wanachoshwa na sarakasi za watumishi
  9. dedam

    JamiiForums Tanzania Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

    Wataalam wa free style ni Chid beenz Nick mbish God zilla
  10. dedam

    JamiiForums Tanzania Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

    Hakuna aliye free style hapo wote wamechana
  11. dedam

    JamiiForums Tanzania Kwa kozi za ADEM, unaweza kusoma degree ipi?

    Mzumbe na udom wanawapenda sana watu wa adem Kasome tu
  12. dedam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Low battery temperature

    Tecno w3
  13. dedam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Low battery temperature

    A Asante nitafauta ushauri wako
  14. dedam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Low battery temperature

    Nikichaji simu ina andika maandishi haya low battery temperature Simu inatatizo gani na nifanye nini kuondoa tatizo hili
Back
Top Bottom