Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
Jamani wana jamvi naomba kujua. Kwa kozi zitolewazo ADEM kwa level ya diploma, je unaweza utumie ufaulu wake kusoma degree ipi na wapi ? Ikizingatiwa kwa sasa ni mwalimu wa daraja la IIIA
Asante MkuuMzumbe na udom wanawapenda sana watu wa adem
Kasome tu
Agency for Development of Education Management, wanatoa diploma ya uongozi wa elimu na diploma ya ukaguzi mashulenisorry mkuu naomba kujua kuhusu hiyo adem (ni kitu gan??)