Recent content by Deco de sousa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

    Dunia sio kitu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tushauriane zawadi ya Valentine's Day isiyozidi Tsh 20,000/=

    Kizazi sana brow..
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu aliumba ulimwengu akiwa wapi?

    Anaesema hakuna MUNGU anatamba kwasababu ni nzima wa afya huyo, tusubiri aumwe alafu tutajifunza kitu kutoka kwake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  4. D

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu imefilisika mtaji kutoka milioni 50 hadi 15. Nifanye nini?

    Au imeongezeka kutoka milioni 15 hadi 50 unatuchora tu!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

    Duh! Mwanangu.. humuogopi hata Mwenyezi Mungu. Tena una-insist kabisa, we ndio unaotoa risky.. usiingiize kwenye madhambi ambayo hayakuhusu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Drafti kitaifa

    Kuna jamaa wanamuita IWOBI anaishi Toangoma Kigamboni anaweka.. kiukweli hao jamaa wengine sijui huwezo wao ila uyo mwamba IWOBI, cjui niiwekaje ktk kumsifia coz kila neno naona kama halitoshi. Ila itoshe kusema kwamba "HAKUNA" .
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

    Unakuwa bahili mpaka unaibahiria nafsi yako na watu unaoishi nao pia unawabahilia, sio kweli..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kama unasumbuliwa na panya pitia hapa

    Hahahahaha
  9. D

    JamiiForums Tanzania Haya tena wale munoa penda kufanya kazi za ulaya angalieni hiyo video madhara yake

    Kukaa kimya wakati mwengine ni daghawa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Ni lazma mtatengeneza chuki
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    South Africa ni kama Marekani ya Africa ndo mana kila Muafrica anataka akimbilie pale, na kinacho skitisha zaidi 100% ya wahamiaji 5% ndo wana kazi sahihi.. hawa wengine wanataka wakoke droo na wale local ambao wanaishi kule
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Mleta story kama unataka TAKRIMA, sio dhambi sema tukuchangie.. kuliko kutungojesha mpaka tujiongeze wenyewe UNAZINGUA!
Back
Top Bottom