Recent content by debuli

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Watangazaji wa mpira wa enzi hizo

    Mimi (debuli)
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Kigwangalla alifanyiwa "vetting" kabla ya Uteuzi wake?

    Hana mazuri huyu?!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Mh. Suala la foleni kaliongeleaje, au watu watoke makwao 10 alfajiri na kurudi 2 usiku?!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar watajwa Wizara ya Fedha, Elimu

    "Rafudhi" unamaanisha nini?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

    Soma Uzi wore uuelewe dogo. Usiwe mvivu Wa kusoma Sawa mzee
  6. D

    JamiiForums Tanzania Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

    ........... Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive). ........ Hili neno marekani kwani si sawa na USA?!! Au akili yangu inaanza kuzeeka, maana mleta uzi unasema hujasema hicho kitu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wameteuliwa kwa sababu waliinadi sera ya Hapa Kazi Tu

    Hajamtosa, kuna wizara 4 bado.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hon, Dr, Prof. JAKAYA MRISHO KIKWETE

    Apumzike wapi wakati tangu aachie madaraka kashagonga km safari tatu iv!!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Majwega Simba S.C: Wathibitisha Undugu wake na Azam F.C

    Mifano uliotoa ni ya timu 2 za nchi 2 tofauti, lakini simba na azam zote za bongo.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Huhuhu... Na huku akirusha mikono utamsikia, "kwa maslahi mappana ya nchi hii"
  11. D

    JamiiForums Tanzania hii itakua nchi gani

    Hapa kulipa ni hiari
  12. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete atabaki kwenye akili za Watanzania kwa muda gani?

    Mbona mwangu hayumo!!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Unapiga Picha na Polisi wa Uingereza Je Bongo unaweza kupiga Picha na Polisi?

    Kumbe hujui?!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupitishwa kwenye huu moto?

    Dah! Long time kitambo! Nashika mswaki km saa kasorobo iv. Mamkubwa akija ni makwaju na kwenda mbele. Oh! Dear mama.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hata Brazil walifungwa 7 na Germany

    Hakuna tatizo apo, Tanzania na Timor baba mmoja mama mmoja
Back
Top Bottom