naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Laah tumetoka mbali kwa kweli, katika kuoga unafungua "bomba la mvua" unapita 1,2,3 yaani unakatiza sio unaoga mara tatu unatoka na maji uonekane umeoga ukitoka tu unakutana na mtu anakunusa miharufu ya jasho napata kipondo kitatakatifu narudi bafuni, kazi nyingine ilikuwa nywele hadi mzee atuchane ukitoka hapo unakwenda kulia pembeni. Kwa kweli wazazi huwezi kuwalipa ni kuwashukuru na kuwapenda basi