Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Darasa kwa Kubenea na Wabunge wengine

Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yke. Alitumia lugha ya kibabe sana Bila ulazima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria n msumeno
Ni kweli kwamba tuna mihimili mitatu, lakini siyo kweli kwamba serikali ni top over watu! Siyo tu Mbunge Hata wewe, raisi Magufuli ameomba Kazi ya uraisi ili awatumikie wananchi!
Hicho kitu unacho sema kipo Marekani, umekosea. Kule mamlaka zinaheshimiana. Pia, mamlaka siyo mtu, ni taasisi ambayo imepewa mamlaka na watu kwa mujibu wa katiba. Umesema tuache USHABIKI wa kisiasa tuangalie ukweli ila jiangalie, hata wewe umeonyesha ushabiki mkubwa Sana Kwa Makonda! Kazi yake, Makonda, ni kusimamia Sheria
Tujiulize kilichomsukuma kumweka Kubenea ni kuchukua matusi au ni Yeye kutukanwa? Wewe hapo ukimtukana Mtu yeyote atakuweka ndani? Siku zote alipokua anamwita Lowasa fisadi, aliwekwa ndani na nani? Makonda hayupo juu Ya sheria na hana mamlaka ya kuamuru mtu yeyote awekwe ndani, amevunja sheria kwa kuvuka mipaka ya kazi yake.
 
...........

........

Hili neno marekani kwani si sawa na USA?!! Au akili yangu inaanza kuzeeka, maana mleta uzi unasema hujasema hicho kitu.[/QUOTE]

Soma Uzi wore uuelewe dogo. Usiwe mvivu Wa kusoma
 
Kwani huo mkutano ulikuwa wa nani kati ya Makonda na Kubenea?
Yule alivamia mkutano wa mwenzake na kuuteka nyara atakuwa ni kibaka.
 
we kenge..kumtukana mtu ni kosa kisheria..mavi wewe
Ni Kweli lakini kwa Sababu mimi siyo Makonda sitakuweka ndani! Pia nimekusamehe kabisa, na nakushauri uache kutumia lugha Ya matusi.
Pili, sijatetea matusi, nimeuliza kama Makonda akiona matusi kama haya uliyo tukana hapa ataamuru uwekwe ndani, au ameumia kutukanwa yeye kama yeye?
Tatu, nakukumbusha kuna sheria Ya makosa ya mtandao, angalia usije ukajiingiza kwenye matatizo. Mungu akubariki.
 
jamaa itabidi ujiongeze maana. huna jipya dhidi ya kumponda Kubenea kama alikuwa na shida kwann asifanyiwe vurugu na hao wafanya kazi toka. asubuhi hadi alipofika DC Makonda fikiri nje ya boksi propaganda...
 
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yke. Alitumia lugha ya kibabe sana Bila ulazima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria n msumeno
Upuuzi mtupu, kwanini makonda aliamrisha waandishi wa habari wote waporwe zana zao? Si angechukua ya star tv pekee? Kwa akili yako hata mkishinda hiyo kesi ndio kubenea ataporwa ubunge?
 
Unapochaguliwa kuwa mbunge jitoe ktk fikra na mihemko ya kampeni;anza kujifunza kusoma ni nini wewe kama kiongozi unachotakiwa kukifanya ndani ya bunge na nje ya bunge ukiwa na akili timamu fanya unayotakiwa kisheria kikanuni na personality yako rejea hotuba ya mh.mbowe fupi akimpongeza lema ni maneno machache yana maana.na sijui vipi wabunge wa chadema kimewasibu.haijapatapo kumsikia mwenyekiti mbowe kutusi au kutukana ktk kadamnasi wa watu jifunzeni hampo juu ya sheria na protokali ifuate kuna ugomvi gani.wote ni watumishi wa wananchi na baada ya miaka mitano uchaguzi utakuwepo 2020 hapa kazi tu
 
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yke. Alitumia lugha ya kibabe sana Bila ulazima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria n msumeno

U.S.A hata ulaya au Asia cheo cha mkuu wa mkoa hakipo hata South Africa hakuna cheo cha mkuu wa mkoa hivi vyeo kwa mfano bora wa Uongozi havitumiki ni kama vimepitwa na wakati
 
Kuna wakuu wa wilaya ambao mkuu wa nchi anatakiwa kuwabadilisha upesi sana ili kulinda heshima ya serikali yake na mmoja wao ni huyo Makonda wa Kinondoni. Toka ameteuliwa imekuwa ni shida tu kila siku kuwasweka watu lupango!!

Kabla Magufuli hajamtoa lazima ataonja Machungu ya Udikiteta wake hata wale maafisa aliowaweka ndani sasa wapo busy kuhakikisha kuwa anafeli kwa kila jambo.
 
U.S.A hata ulaya au Asia cheo cha mkuu wa mkoa hakipo hata South Africa hakuna cheo cha mkuu wa mkoa hivi vyeo kwa mfano bora wa Uongozi havitumiki ni kama vimepitwa na wakati

Hawaitwi kwa jina LA Mkuu Wa wilaya Nk... Lakini wapo kwa majina mengine.
 
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.

Muh. Rais ndiye kiongozi mkuu wa utawala. Vilevile ndiye msimamizi mkuu wa mahakama na bunge. Jaji mkuu na Spika wako chini yake. Kimkoa na kiwilaya, Rais anawakilishwa na Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya.

Wakuu Wa wilaya, wakuu Wa mikoa hata ulaya na marekani wapo. wabunge kote duniani siyo viongozi Wa kiutendaji (executive).

Nchi zote zina executive, judiciary na legislature. Katika kila nchi executive (Rais na wasaidizi wake) ndiyo watekelezaji Wa sheria kiuongozi. Marekani magavana (tuwaite wakuu Wa mikoa na wilaya) wana nguvu sana kiutendaji.

Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yke. Alitumia lugha ya kibabe sana Bila ulazima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria n msumeno
Jaji Mkuu hayupo chini ya rais. Rais anaweza kumteua Jaji Mkuu lakini hawezi kumwachisha kazi.
 
Sikujua kuwa USA kuna wakuu wa wilaya Nyaningabu ni kweli haya?
Wee acha tu, JF imejaa vilaza mpaka inatia huruma, eti huko Marekani Obama ndiye huteua Magavana!

Huyo kilaza hajasikia maseneta na wabunge wa Marekani wanavyomtukana Obama hadi kumuita mjinga.

Polisi wa Marekani hawezi kuamriwa hata na Obama mwenyewe kumkamata mwakilishi wa watu, ni hapa Bongo tu.

Huko Uingereza ndiyo usiseme, mkuu wa serikali ni kama ruga ruga wa wawakilishi, yeye ndiye huweza kukamatwa
na kushtakiwa kwa amri ya wawakilishi.

JF mods, mbona mmeiachia jamvi letu kushuka kiasi hiki? Je na nyie Makonda kawafunga gavana kiutendaji?
 
Tuna mihimili mikuu mitatu kiuongozi kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Utawala, Mahakama na Bunge.
.........
Licha ya kubenea kuwa mbunge alipaswa kumheshimu Mkuu Wa wilaya Bila kubishana nae hadharani au kumtukana. Alimuita mhuni na kibaka hadharani.

Makonda ili kuhifadhi ushahidi, aliamua kuteka video camera ya startv ili ushahidi Wa matusi aliotukanwa usifutwe.

Jiweke ktk nafasi ya makonda. Rais Wa wilaya kutukanwa hadharani. Ikumbukwe kuwa makonda alikua ameahidi kumpeleka waziri kiwandani Leo.

Kiprotokali baada ya makonda kuongea na wafanyakazi, kubenea hakua na haki ya kutaka kuongea baada ya DC. DC aliogopa kuwa maneno ya kubenea yanaweza chafua hali ya hewa ambayo ilikua imetulia.

Tabia ya kijeuri ya kubenea aliionesha siku ya kufungua bunge alipomuomba Kange lugola kufuta maneno yke. Alitumia lugha ya kibabe sana Bila ulazima. Kubenea ajue kuwa kinga anayo bungeni siyo uraiani (executive) kwa akina makonda.

Tuweke siasa kando. Tuseme ukweli. Katiba ya 1977 ndiyo ituongoze hata kama INA mapungufu. Sheria n msumeno
Shilingi ina pande mbili.

Link Kesi ya Kubenea, Makonda yaahirishwa | MwanaHALISI Online
 
Umeandika point mkuu, lazima ifike mahali serikali ieshimiwe sasa kuna kenge wanataka mkuu wa wilaya ajichekeshe tu baada ya kutukanwa hadharani.

Hiyo haikubariki hata kama Kubenea anadhani ilikuwa ni haki yake lakini mipaka ya mkuu wa wilaya aiheshimu na akikaidi na kutoa Lugha za kudharirisha atafikishwa mahakamani tu.
Kama tukitaka amani serikali lazima I iheshimiwe. Hata Biblia inasema mamlaka yanatoka kwa Mungu.
Huko Kenya hivi karibuni mtu alifungwa kwa kumnyima lift Mkuu wa wilaya.
Ifike mahali viongozi waheshimiwe vinginevyo amani itapotea.
 
Ni kweli kwamba tuna mihimili mitatu, lakini siyo kweli kwamba serikali ni top over watu! Siyo tu Mbunge Hata wewe, raisi Magufuli ameomba Kazi ya uraisi ili awatumikie wananchi!
Hicho kitu unacho sema kipo Marekani, umekosea. Kule mamlaka zinaheshimiana. Pia, mamlaka siyo mtu, ni taasisi ambayo imepewa mamlaka na watu kwa mujibu wa katiba. Umesema tuache USHABIKI wa kisiasa tuangalie ukweli ila jiangalie, hata wewe umeonyesha ushabiki mkubwa Sana Kwa Makonda! Kazi yake, Makonda, ni kusimamia Sheria
Tujiulize kilichomsukuma kumweka Kubenea ni kuchukua matusi au ni Yeye kutukanwa? Wewe hapo ukimtukana Mtu yeyote atakuweka ndani? Siku zote alipokua anamwita Lowasa fisadi, aliwekwa ndani na nani? Makonda hayupo juu Ya sheria na hana mamlaka ya kuamuru mtu yeyote awekwe ndani, amevunja sheria kwa kuvuka mipaka ya kazi yake.

https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=311131&stc=1&d=1450203462
 
Back
Top Bottom