Hon, Dr, Prof. JAKAYA MRISHO KIKWETE

Hon, Dr, Prof. JAKAYA MRISHO KIKWETE

kumbe alianzia kukaa nje ya nchi tangu ujanani
 
Kwa miaka10 nchi ilikua inaongozwa na diwani wa msoga.Matokeo yake tumeyaona.
 
Sioni sababu ya kutumia hizo initials zote. Ndugu inatosha kabisa.
 
mzee wa kucheka cheka,hua najiuliza au ni yeye alieandika yale mashairi ya cheka cheka nini


Na wewe kwa kulala bungeni, subiri tu....Ulishaambiwa achana na machangu uchwara kule Dom, wewe hutaki tu.....ukilala mbele yangu nakuibia.
 
Back
Top Bottom