Umeshindwa kuuficha uzanzibari wako. Mnajulikana kwa rafudhi mpaka maandishi
"Rafudhi" unamaanisha nini?
Umeshindwa kuuficha uzanzibari wako. Mnajulikana kwa rafudhi mpaka maandishi
Kwa kipimo kipi?
Waliopewa nafasi muungano, wamevurunda! Anza na Vuai, na wazee wa kukata utepe. Hao ni baadhi ya vichwa, alafu cheki Shein alivyozubaa, cheki Maalim Seif! Dah, hawafai,
mkuu mbona halali unaifanya juwa haramu?Nafasi mbili ilizopewa Znz inatosha hao wawili wanaweza pewa nafasi SMZ uchaguzi ukirudiwa na si serikali ya jamhuri
Ila Zenji naonaga wengi mdebwedo anyway awape tuwaone na kuwapima in 5 years
Umeshindwa kuuficha uzanzibari wako. Mnajulikana kwa rafudhi mpaka maandishi
si ndo maana mmepewa wizara mbili znz kisiwa cha watu milioni moja ningekuwa Magufuli ningewapa wizara moja tu!
Kuna Wazanzibari wenye uwezo mkubwa sana km hawa wanao uwezo bora wapewe tena ni waaminifu kuliko kuwapa mchwa wa kibongo mie niliwahi ishi huko hata ukisahau simu dukani unarejeshewa sio vimburu wa kibongo.Nashauri My.Magu awapatie tu

Hamna cha muungano, hapa ni kama una sifa ndo upewe wizara. Hao huko Zenji wamefanya nini ktk hayo maeneo husika? Hizi wizara nyeti, hawawezi, simple and clear! Kama wakipewa basi wakubali kuwa watakuwa vivuli tu, Mangu ataongoza mwenyewe nyuma ya pazia. Ukiwa mkarimu na umezubaa sana, watu wanaokuzunguka watapiga madili tu, utaishia kukodoa macho.
Aisee! Kwahiyo na wewe ndo mmoja wa watalaamu na ma-GT kutoka mikoa ya bara sio?! Mkuu GT wa bara, hebu nipe mafanikio ya huko kwenu ili watu tukasake maisha!!!Watu wa pwani na visiwani huwa sina imani nao kabisa. Ni wepesi sana kumtupia mungu mzigo wa yale yaliyowashinda lkn pia they are never serious.
Angalia kauli hii ya Kikwete;- kuna mwandishi mmoja kaandika "Kikwete hachomoi,..kwani nimechomeka mini?" Huku akichekacheka.