Recent content by deborah mwambingu

  1. D

    JamiiForums Tanzania KUITWA KAZINI-NGORONGORO

    Nilickia wametumiwa sms za kuitwa kazini kwa wale waliopita,,,, Ngoja waje na wengne waseme
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda kula kula kwani hamshibi?

    Kuna wengne hawawezi kula wakamaliza chakula, kwaio kula ivo mara kwa mara na kidogo kidogo kunawasaidia sana
  3. D

    JamiiForums Tanzania Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

    Introduction ni utangulizi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Virgin Hair Fertilizer

    Jaribu pale zuri pale dar free market
  5. D

    JamiiForums Tanzania Penzi mubashara (My king Vladmirovich Putin)

    Duuhn[emoji15] [emoji15] [emoji15] Mbna mambo hot unataka kuharibu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapo sasa kwenye kamba panavyo noga asikwambie mtu
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

    Kikojozi huyoo Kikojozi Na nguo kaitia moto Na ndani kuna viroboto Huyooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Inawezekana kwa mtu aliehitimu darasa la saba akajiunga na Chuo cha Polisi

    Kwa kadri ninavyoelewa lazima uwe na cheti cha form four uweze jiunga na polisi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

    Aisee kuliko kuacha panki c bora niache tu nikae ivoivo[emoji23] [emoji23]
  10. D

    JamiiForums Tanzania Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

    Wala unapiga wese la Nazi au olive oil mapele hamna [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  11. D

    JamiiForums Tanzania Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

    Mkuu nisaidie, mie kwangu ngumu kweli maana
Back
Top Bottom