Recent content by debby richie92

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

    Shida ni kupata magwiji ya Kuwacut off
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Nipo serious
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Natafuta fundi aliepo ukara
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tambiko la Kwamsisi kupisha barabara na fidia ya Tsh 21,000,000

    Bro naomba unifafanulie tofauti ya uchawi wa mitishamba na uchawi wa tunguli lakini pia uchawi upi una nguvu kati ya kitabu, mitishamba na tunguli
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni sahihi mke kumroga mume kwa manufaa ya familia?

    Asante ila days are numbered namrogaaaaaa nipeni namba za waganga ila wasiwe matapeli tena wa kigoma ndo nawataka sana na tanga
  6. D

    JamiiForums Tanzania Zifahamu aina 7 za limbwata

    Huyo babu bado yupo hai hadi leo na mimi nifanye taarifa???
  7. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Shetani naye ana amri zake? Ziko 11

    Hii ya 11 nilimuonya mtu aache akajifanya kichwa maji sasa ket me destroy them they will cry the whole clan
  8. D

    JamiiForums Tanzania Zifahamu aina 7 za limbwata

    Kuna mtu nataka nimroge tena huyu namchanganyia quote ya kaburi la mtoto mchanga naenda kuifanyia kigoma, ya kisomo naenda kilwa na nyingine nitnafanyia tanga yaani nachanganya mizim na majini mshenzi yule aonje maumivu maana anajifanya hasikii
  9. D

    JamiiForums Tanzania Utaalam wanaotumia Wachawi katika kuumiza watu

  10. D

    JamiiForums Tanzania Uchawi huu wa kisambaa ni noma

    Kaka mshana naomba unisaidie namba yako ya cm PM kaka
  11. D

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Kaka mshana samahani naomba namba yako Pm
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni sahihi mke kumroga mume kwa manufaa ya familia?

    Ni vile nakutana na waganga feri nikipata mganga Og huyu baba natoka akamkumbuka hugo mwanamke maana kanitelekezea watoto hadi anawaita takataka kisa huyo mwanamke walah natafuta mganga
  13. D

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

    Mie nimewahi kuvunja yai njiapanda sema sasa sikujua kama ni njia panda sahihi au lah maana baadae sana baada ya kuvunja yai ndo nikaja kusikia kua kuna njia panda dume na jike na zina kazi tofauti
  14. D

    JamiiForums Tanzania Takwimu za ushirikina Tanzania

    😂😂😂😂😂😂😂
Back
Top Bottom