Recent content by De marco

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Asee wahanga poleni sana kwa kweli..... Kweli cc wababa wa baadae tujpange na wake zetu tuone hii changamoto tunaikabili VP... Ahsanten kwa kufunguka..wenye stories pia wekeni...we learn a lot from you #thanksJF
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeangalia FUTUHI mwanzo mwisho sijacheka!!

    Wale wa katuni , RICKY AND MORTY... Best season utacheka mpk basi Maana mi nimecheka kusoma title ya post...eti hujacheka daaah
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kodi ya kuingiza bidhaa Tanzania ni asilimia ngapi?

    Ahsanteni wakuu...kwa mchango wenu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kodi ya kuingiza bidhaa Tanzania ni asilimia ngapi?

    Wakuu , nnaitaji kununua camera from eBay, sasa naulizia ikifika kwa njia ya posta.. Nackia kuna kulipia kodi, Je, kwa makadirio kodi utakua kiasi gani, bei ya camera ni $300....laki sita naa.. Msaada jaman wataalam Mwalimu Rct na wengine... THANKS
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Online Content Regulations: Ni kosa kisheria simu, computer kutokuwa na password. Kuendesha Blog lazima ulipie!

    SI KWELI...kumiliki blog sio biashara Kumiliki successful blog, yenye traffic ya kutosha na matangazo... Hii ndio biashara Au ww unadhani kuwa na blog tu ndo unaprint hela??....
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Online Content Regulations: Ni kosa kisheria simu, computer kutokuwa na password. Kuendesha Blog lazima ulipie!

    Yan nlipanga kuleta huu Uzi hapa, umeniwah mkuu !! Hivi hawa watu mbona wanakurupuka hivyo??...AF wapo narrow minded kinoma...wanafikiri kila mwenye blog au online content maker...anapinga serikali au anafanya uchochezi (BIG NOOO) Hawaangalii kuwa blogs zpo ktk sekta zote za maisha apart from...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Leo roman reigns anapelekwa tena SUPLEX CITY
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni goli gani halitoki kwenye kumbukumbu zako??

    Goli la messi vs sevilla , la liga 2018 , barca anachomoa 2 dk ya 89
  9. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Man's not hot [emoji154] [emoji154]
  10. D

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Tanesco
  11. D

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Hizi Kamba hizi mmmh.... E=mc² lakini co hivyo ...NO
  12. D

    JamiiForums Tanzania Unataka FB Page ya kupost Bure,Karibu nikusaidie

    Mimi hapa, ....
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naitaji domain na hosting for my new website, MSAADA

    Guys habari zenu,.. Naanzisha CMS based website soon, sasa naombeni ushauri juu ya domain na hosting Kuna kampuni za kitanzania nimeona zinadeal na haya mambo, je zpo secured??.... Na VP speed ya site kuload na other related stuffs AU it's better kuwatumia WordPress plus bluehost au host...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kwa waandishi wa habari

    Je, wewe ni mwandishi wa habari?? Umesomea tasnia hiyo?...na hata kama hujasomea lakini unao UWEZO wa kuandika habari 2 kwa siku, Yes, habari 2 kwa siku ktk sekta mbalimbali kama vile habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani na sekta zingine kama biashara, teknolojia , mahusiano n.k...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwaresma 2018 Special thread...

Back
Top Bottom