Recent content by De Classic Boy Jr

  1. De Classic Boy Jr

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    KAMPUNI ya Vodacom Tanzania Limited, hiki mnachokifanya ni wizi na unyang'anyi kama ulivyo ukabaji, kuvunja nyumba ya mtu na kumuibia au kumpora Mali yake kwa nguvu na hata kumjeruhi au kumuua. Kinachotia hasira na hasara zaidi ni kuona TCRA wanajua wizi na utapeli huu lakini wakijifanya kutoona...
  2. De Classic Boy Jr

    Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .....nothing is impossible bro
  3. De Classic Boy Jr

    Rais John Magufuli: Nikisema Ukweli, Watanzania Wenye Uchungu Mtalia!!!

    "Rais Kipenzi" hili neno sio sahihi Mkuu.... Labda kama umem refer according na anachokufanyia ....kwangu mm ní boya tu
  4. De Classic Boy Jr

    Msaada Please: kwa yyt anaezifahamu shule za morogoro

    Shule ndo sizijui maana mm sio mkazi wa morogoro
  5. De Classic Boy Jr

    Msaada Please: kwa yyt anaezifahamu shule za morogoro

    Kunzia Moro mjin mpk maeneo ya mzumbe sio mbaya kaka
  6. De Classic Boy Jr

    Msaada Please: kwa yyt anaezifahamu shule za morogoro

    Hii ishu wakuu ní serious kwa mawasiliano yeyote namba zangu [emoji116][emoji116] 0769501850
  7. De Classic Boy Jr

    Msaada Please: kwa yyt anaezifahamu shule za morogoro

    Habari zenu wakuu Nina shida kidogo nahitaji msaada wenu..kwa yeyote anefahamu shule za sekondari zilizopo morogoro anisaidie maana tunatafuta shule za kufanyia TP...Kama pia kuna mawasiliano yoyote asisite kuweka hapa ili niweze kuwasiliana na Mkuu wa hizo shule Asanten
  8. De Classic Boy Jr

    Hii ndio aina ya mwanamke ninayempenda, wewe je!

    Saiv washakupakua na kukupakia sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. De Classic Boy Jr

    Siwezi kumsamehe huyu.

    Pepo la kisasi SHINDWAAAAAAAAAAAA
  10. De Classic Boy Jr

    Nimekoswa koswa, kina dada hatari sana

    Ww wala hukua unahitaji mke... Ila kuchambua makabila [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. De Classic Boy Jr

    Waziri Ndalichako: Wakuu wa vyuo vyote wawapime wanafunzi wao dawa za kulevya

    Tuko tayar kupimwa ila ingependeza kama wangeanzwa wao
  12. De Classic Boy Jr

    Museveni apasua jipu, Tanzania haikumng'oa Idd Amin peke yake!

    Inawezekana ikawa kwel au uongo ...ila taarifa yako fupi kama bao la asbh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. De Classic Boy Jr

    Mtazamo wangu: Mambo ya Kujiuliza

    Hujui kitu ...subr wenye ujuz na huu mchezo waje ndo utaelewa .... Ww umezaliwa 2010 kama mm kwahy hii ligi kwetu ngumu
  14. De Classic Boy Jr

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    [emoji113]Nategemea DC PAUL MAKONDA atamshtaki Bishop GWAJIMA mahakamani kwa kosa la kumdharirisha. [emoji113]Nategemea JESHI LA POLISI litamkamata na kumhoji Bishop GWAJIMA kwa kumchafua MTUKUFU DC PAUL MAKONDA. [emoji113]Nategemea Waziri wa Elimu Prof JOYCE NDALICHAKO atajitokeza hadharani...
Back
Top Bottom