Mtazamo wangu: Mambo ya Kujiuliza

swali #2 ivi kuwa na taarifa ya mtu kubadili jina lazima uwe na hati ya mwanasheria

swali #3 wapi imesemwa ivo vyeti alivipata toka baraza/alienda kuviomba

swali #4 wapi gwajima amesema anamiliki vyeti original vya daudi

maswali yako yamejaa utoto tu
 
Hivi tukijua kiwango cha usomi wa makonda je kwenye maisha ya yetu ya kawaida nn kitabadilika?
tutakuwa na amani anaye tuongoza ana uelewa wa mahitaji yetu/mipango ya kimaendeleo.

itakuwa chachu kwa wanaosoma kujua umuhimu wa elimu na sio ujanja ujanja kama wa daudi
 
Siko tayari kuongozwa na mkuu wa mkoa anayetuhumiwa kutumia vyeti ambavyo si vyake
 
Mtumishi wa Mungu anasimama anasema ana vyeti vya Paul Makonda kikiwemo kile anachodai Makonda Alipata Zero.

Maswali yakujiuliza
1. Gwajima ametoa wapi cheti chenye Zero kwakua serikali huwa haitoi vyeti kwa watu wenye zero?

2. Kama kweli Makonda anatumia majina mawili tena mbona Gwajima hatuletei hati ya Mwanasheria ya Makonda kubadili jina?

3. Je nilini Baraza la mitiani limeanza kutoa vyeti kwa mtu yeyote aliehitaji hatakama sio vyake?

4. Je inawezekana vipi Makonda na Gwajima wote kumiliki vyeti original vya mtu mmoja?? Kama vya upande mmoja sio Original umevitoa wapi??
USITULETEE SIASA HAPA. TUNAJUA FASIHI SIMULIZI. Kama kaongea hivyo ina maana anazo nyaraka harali hata kama ni copy lakini zenye ukweli. Kuna lugha ya majukwaani ndio iliyotumika hapo, kwa nia ya kufikisha ujumbe kwa makali yake.
 
tutakuwa na amani anaye tuongoza ana uelewa wa mahitaji yetu/mipango ya kimaendeleo.

itakuwa chachu kwa wanaosoma kujua umuhimu wa elimu na sio ujanja ujanja kama wa daudi
Mkuu mi najua elimu kipimo cha kujua kiongozi ila kiongozi hupimwa kwa busara katika uongozi wake hili la vyeti limekuja baada ya madawa je bila madawa tunge mpima na nini katika uongozi wake
 
itamsaidia kupunguza kuona wenzie si lolote kumbe na yeye si lolote alimchapa warioba makofi mchana kweupe
malipo ni hapa duniani
Mkuu najua swala la warioba linamengi nyuma yake hata kupewa nafasi kuna mengi wanayajua wao na ndo maana wanashindwa kumwondoa hapo alipo
 
USITULETEE SIASA HAPA. TUNAJUA FASIHI SIMULIZI. Kama kaongea hivyo ina maana anazo nyaraka harali hata kama ni copy lakini zenye ukweli. Kuna lugha ya majukwaani ndio iliyotumika hapo, kwa nia ya kufikisha ujumbe kwa makali yake.
Kama ambavyo tuliambiwa fulani ni fisadi na wana nyaraka za kuthibitisha hilo lakini baadae tukaambiwa na hao hao mwenye ushahidi apeleke mahakamani...
Simumini bashite na simuamini mwanasiasa wote wale wale...
 
Hahahaa kama mmepitia angalau form four kuna kitu kinaitwa Result slip ambayo ata upate zero unapewaa....nafikir nacho piaa ni Chetii
 
Tanzania ya viwanda na vilaza ?
Dar mpya na vilaza?
"Vita ya madawa ya kulevyea katika serikali ya mkoa wa DAR"ndiyo maana hajui hata katiba ya nchi inasemaje!
Alitakiwa kusema "serikali katika mkoa wa Dar"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom