De Classic Boy Jr
Member
- Oct 28, 2015
- 52
- 45
Habari zenu wakuu
Nina shida kidogo nahitaji msaada wenu..kwa yeyote anefahamu shule za sekondari zilizopo morogoro anisaidie maana tunatafuta shule za kufanyia TP...Kama pia kuna mawasiliano yoyote asisite kuweka hapa ili niweze kuwasiliana na Mkuu wa hizo shule
Asanten